Content removal request!


Lipuli FC 1-1 Azam FC | Magoli mawili na penati moja - VPL 19/07/2020

Azam FC imelazimishwa sare ya bao 1-1 na Lipuli FC, mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliopigwa kwenye Uwanja wa Samora, Iringa. Wafungaji ni Abdallah Heri Sebo kwa Azam FC na Paul Materazzi kwa upande wa Lipuli FC. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz