Content removal request!


Lipuli FC 0-1 Simba SC : Highlights - 15/02/2020

Nahodha wa Simba John Bocco ameifungia timu yake bao pekee la ushindi na kuipa pointi tatu mbele ya Lipuli FC, mchezo ukipigwa kwenye Uwanja wa Samora, Iringa, Ligi Kuu Tanzania Bara VPL. Tazama LIVE mechi za Vodacom Premier League na vipindi vingine kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://play.google.com/store/apps/de... Tutuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz