Tayari tulishaharibu: Mashabiki Simba
Tayari tulishaharibu: Mashabiki Simba

“Sisi tulishafanya maafa kwao…tayari…tulishaharibu…” – Mashabiki wa Simba mkoani Iringa kuelekea mechi ya marudiano raundi ya awali kati ya Simba Sports Club na wageni wao Plateau United ya Nigeria. #SimbaSC #TikitakaKwaMkapa #LigiYaMabingwaAfrika Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



Uwanja wa Mkapa ndiyo machinjio ya Simba: Mashabiki
Uwanja wa Mkapa ndiyo machinjio ya Simba: Mashabiki

“Uwanja wa Mkapa ndiyo machinjio ya Simba” - Mashabiki wa Simba mkoani Iringa wakijinadi ‘kuichinja’ Plateau United huku wakitamba kufika hatua ya nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika. #AzamSports1HD , #AzamSports2HD Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



Highlights | JKT Tanzania 0-2 Gwambina  FC - VPL 21/11/2020
Highlights | JKT Tanzania 0-2 Gwambina FC - VPL 21/11/2020

Tazama jinsi Gwambina walivyowatandika JKT Tanzania katika mchezo wa ligi kuu uliopigwa Novemba 21, 2020 kwenye Uwanja wa Samora, Iringa. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



Dodoma Jiji 0-1 Tanzania Prisons | Highlights - VPL  26/10/2020
Dodoma Jiji 0-1 Tanzania Prisons | Highlights - VPL 26/10/2020

Timu ya Dodoma Jiji FC ikiutumia Uwanja wa Samora mjini Iringa kama uwanja wake wa nyumbani imekumbana na kichapo cha bao 1-0 kutoka kwa Wajelajela, Tanzania Prisons. Goli pekee limefungwa na Ramadhan Ibata dakika ya 88. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



Goli la Tanzania Prisons wakichomoza ugenini (0-1) dhidi ya Dodoma Jiji FC
Goli la Tanzania Prisons wakichomoza ugenini (0-1) dhidi ya Dodoma Jiji FC

DODOMA JIJI FC 0-1 TANZANIA PRISONS: Goli pekee la Ramadhan Ibata limewapa Wajelajela Tanzania Prisons pointi tatu muhimu dhidi ya Dodoma katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliopigwa kwenye Uwanja wa Samora, Iringa. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



Rayvanny alivyomkaribisha raisi magufuli Iringa
Rayvanny alivyomkaribisha raisi magufuli Iringa

Follow Rayvanny On: Twitter : http://www.twitter.com/rayvanny/ Facebook : https://www.facebook.com/RaymondVanny/ Instagram : http://www.instagram.com/rayvanny/ For Bookings: Email: rayvanny@wcbwasafi.com



Highlights: Lipuli ilivyoikamata Azam na kutoka sare ya 1-1 Uwanja wa Samora - VPL 19/07/2020
Highlights: Lipuli ilivyoikamata Azam na kutoka sare ya 1-1 Uwanja wa Samora - VPL 19/07/2020

Azam FC imelazimishwa sare ya bao 1-1 na Lipuli FC, mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliopigwa kwenye Uwanja wa Samora, Iringa. Wafungaji ni Abdallah Heri Sebo kwa Azam FC na Paul Materazzi kwa upande wa Lipuli FC. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz




« Previous Next »


Popular Tags

#LeBron James  #Allen Iverson  #Football Defensive Skills  #Chris Paul  #Football Defensive Skills  #Shot Goals  #Russell Westbrook  #Paul George  #Cleveland Cavaliers  #Neymar  

Popular Users

#BellaTwins  #BadgerMBB  #taylorswift13  #rihanna  #nyt4thdownbot  #TheRock  #mcuban  #jtimberlake  #iamsrk  #cnnbrk  #realmadrid  #Harry_Styles  #KDTrey5  #Buccigross