#EXCLUSIVE: KWANINI CHAMA ALIAMUA KURUDI BONGO?/AWATAJA MAYELE, AUCHO, SAIDO/MORRISON MATATIZO
#EXCLUSIVE: KWANINI CHAMA ALIAMUA KURUDI BONGO?/AWATAJA MAYELE, AUCHO, SAIDO/MORRISON MATATIZO

"Ewaah🙌🙌Yemwe Yemwe Yemwe😜Hivi Macho yako Yanaona Kama Mimi" Unaikumbaka hiyo? Ilikuwaje? Mwenyewe aliipokeaje? Mpenja Tv Tumekuletea Mahojiano na Kiungo wa Kimataifa wa Klabu ya Simba Sc Claotas Chota Chama Raia wa Zambia amefunguka mengi sana humu... Fungua Video Hii kufahamu yote yaliyozungumzwa kwenye Mahojiano haya... #Chama #TripleC #MwambawaLusaka #ClaotasChotaChama #SimbaSc #YangaSc #Mayele #Aucho #Sakho #Saido #Banda #Ibenge #Berkane #MpenjaTv



UBORA WA YANGA UPO KWA WACHEZAJI HAWA/KOCHA NABI SHUJAA/JE WANAWEZA KUWA MABINGWA?/MSIKIE ALLY MAYAY
UBORA WA YANGA UPO KWA WACHEZAJI HAWA/KOCHA NABI SHUJAA/JE WANAWEZA KUWA MABINGWA?/MSIKIE ALLY MAYAY

Leo Februari 24/2022 Mpenja Tv Tumefanya mahojiano na Mchambuzi wa Soka na aliyewahi pia kucheza kunako klabu ya Yanga Sc Ally Mayay Tembele. Tumezungumza naye mamabo mengi ya Kiufundi kunako Klabu ya Yanga Sc Msimu huu ubora na madhaifu yao yako wapi?... Fungua Video hii kufahamu zaidi tuliyoyazungumza na Ally Mayay Tembele.. #AllyMayay #Mchambuzi #YangaSc #MtibwaSugarVsYangaSc #NBCPremierLeague #MpenjaTv



Simba Full Kikosi Mbeya| Sakho, Chama,Morrison| Mazoezi ya Mwisho na Kikosi Kilivyoingia Uwanjani
Simba Full Kikosi Mbeya| Sakho, Chama,Morrison| Mazoezi ya Mwisho na Kikosi Kilivyoingia Uwanjani

Simba Full Mkoko Mbeya |Pape Sakho, Chama,Morrison| Mazoezi ya Mwisho na Kikosi Kilivyoingia Uwanjani Simba Sports Club, wawakilishi wa nchi katika mashindano ya kimataifa wako jijini Mbeya tayari kwa maandalizi ya mchezo wa NBC Premier League dhidi ya Mbeya City. Na ikumbukwe tu Simba wameenda kuwakabili Mbeya City wakiwa na kiungo wao machachari waliyemsajili tena katika dirisha dogo, si mwingine bali ni Mwamba wa Lusaka, Clatous Chota Chama. Sasa kupitia mitandao ya kijamii ya Simba Sports Club, mabingwa hao watetezi wameonekana wakiwa mazoezini full mkoko yaani wachezaji wao wote waliowasajili akiwemo Chama. Haya ni mazoezi ya mwisho kwa Simba kabla ya kuwakabili Mbeya City katika mechi muhimu kwa Simba kutetea ubingwa wao wa Ligi Kuu. Na tukujuze tu kwamba baada ya Chama aliyekuwa akivaa jezi namba 17 kuondoka Simba, jezi yake alikabidhiwa Pape Osman Sakho lakin mazoezini alionekana Sakho akiwa amevaa jezi namba 10 iliyokiwa ikivaliwa na Ibrahim Ajib aliyemtikia Simba na hii inamaanisha Chama amerudishiea jezi yake namba 17. Mechi ya leo ya Simba dhidi ya Mbeya City ni muhimu kwako katika kutetea ubingwa wao na wanaingia uwanja wa Sokoine wakiwa na kumbukumbu ya ushindi katika mchezo wao wa mwisho wa ligi. Je, Mbeya City atakubali kupoteza mchezo huu akiwa nyumbani? vipi wanasimbazi wataendeleza ubabe wao na kupunguza gap la points dhidi ya watani wao Yanga!? Dakika 90 ndio zitatoa majibu yote haya. Lakin kwako mtazamaji usisite kuacha maoni yako kuhusu hii mechi muhimu ya Mbeya City dhidi ya Simba.



Tazama hasira za mashabiki wa Simba na Kagera / Tumesafiri mwendo mrefu, pesa zetu inakuajee?
Tazama hasira za mashabiki wa Simba na Kagera / Tumesafiri mwendo mrefu, pesa zetu inakuajee?

#simba #kagera #Bodiyaligi Tazama hasira ya mashabiki wa simba na kagera baada ya kuhairishwa mechi ya Simba na Kagera sugar Kaitaba bukoba, ikisemekana ni baada ya wachezaji wengi wa Simba kuwa wagonjwa! Mashabiki wa simba waliosafiri kutoka, Chato na maeneo mengine ya mbali wamelalamikia mechi hiyo kuhairishwa, wakihoji upatikanaji wa pesa yako kama inarudishwa au la! Wakiitaka bodi ya ligi kuwa inafanya tathmini ya mchezo mapema! Homa inayoendelea dar es salaam imewanyima wanabukoba na maeno ya karibu nafasi ya kuwaona wachezaji wao wanaowapenda wa simba akiwemo Inonga, MK14, Medie Kagere, Banda na wengine wengi.



Ambia bwana yako anunue Arimis - Vinnie Baite
Ambia bwana yako anunue Arimis - Vinnie Baite

Vinnie Baite decides to approach Kaluus on her way to work. Watch what Happens Next. Check out this amazing crypto betting site that gives you amazing bonuses when you register. To sign up click on this link and claim your freebet worth 50€/6400 KES www.sportsbet.io



Africa Senior Championships 2021 - Nekesa Irene (Uganda) Vs Lisa Nasimuyu Wele (Kenya)
Africa Senior Championships 2021 - Nekesa Irene (Uganda) Vs Lisa Nasimuyu Wele (Kenya)

Uganda returns to the Africa Senior Championships in Cameroon 2021 after a 15 year absence thanks to Support from the Uganda Olympic Committee (UOC), National Council of Sports (NCS) and Yako Bank.



Africa Senior Championships 2021 - Seera Florence (Uganda) Vs Juma Doreen (Kenya)
Africa Senior Championships 2021 - Seera Florence (Uganda) Vs Juma Doreen (Kenya)

Uganda returns to the Africa Senior Championships in Cameroon 2021 after a 15 year absence thanks to Support from the Uganda Olympic Committee (UOC), National Council of Sports (NCS) and Yako Bank.




« Previous Next »


Popular Tags

#Kobe Bryant  #Miami Heat  #James Harden  #Cleveland Cavaliers  #Gareth Bale  #Los Angeles Lakers  #Kawhi Leonard  #Gareth Bale  #Philadelphia 76ers  #Manuel Neuer  

Popular Users

#SteveNash  #baseballpro  #justinbieber  #selenagomez  #criscyborg  #rihanna  #MariaSharapova  #JJWatt  #OleksiakPenny  #MileyCyrus  #nytimes  #ochocinco  #kobebryant  #GNev2  #katzm