Karibu utazame channel yako pendwa ya #HTMNEWS jiunge nasi kupata habari za kitaifa kimataifa, makala, simulizi mbalimbali, ...
⏰La Liga inarejea leo! Katika huduma yako: ⚽Girona Rayo dhidi ya Vallecano ⚽Real Betis dhidi ya Athletic Bilbao ⚽Atlético Madrid vs Elche 👀Tazama La Liga ukitumia Helabet! #laliga
Karibu utazame channel yako pendwa ya #HTMNEWS jiunge nasi kupata habari za kitaifa kimataifa, makala, simulizi mbalimbali, ...
Game za leo ni moto walai buana, Croatia vs Brazil 🔥 and Netherlands vs Argentina 🔥, hapo Qatar mambo imechemka walai. Wekelea bet yako hapo @BetafriqKe . Dandia Bonus ya 200Ksh💰 Cash for bets placed with 99 Bob and above. Register and join through link
Usisaha ku Subscribe, share na kuacha comment yako @Jomahtv ASANTE KWA KUENDELEA KUWA PAMOJA NASI, NA HII NI ...
Middlesbrough and Barnsley are out to get a positive result tonight. Who will out-score the other? Wekeza bet yako hapa #TuendeleeNaSportPesa
#NelsonOkwa #UsajiliSimba #Kiungo Ukiona Manyoya Ujue kuku Kaliwa; Hivi ndivyo unavyoweza kusema juu Usajili wa Nelson Esor BULUNWO OKWA, Mnigeria mwenye Miaka 25 anayekicheza katika nafasi ya Kiungo. Okwa kabla ya kutua Msimbazi alikuwa akikipiga na klabu ya Rivers United ya Nchini Nigeria; Ile iliyowatoa Yanga katika hatua ya Mchujo Klabu Bingwa Afrika Msimu Uliopita. Okwa ni miongoni mwa Wachezaji wachache Saaa katika Ligi yetu watakao tumia Miguu yote kusakata Kabumbu. Takwimu za ligi kuu nchini Nigeria zinaonyesha kuwa Okwa Msimu huu amecheza dakika 1731 katika mechi 26 kati ya 38, ikiwa ni sawa na wastani wa kucheza dakika 66.5 kwa kila mechi na kufanikiwa kucheka na Nyavu Mara 5. Labda nikiri tu kuwa Okwa ni miongoni mwa wachezaji Machachari sana wawapo Dimbani. KUpitia Uchambuzi huu nitakwambia Okwa ni Mzuri Zaidi akicheza Nafasi gani akiwa Uwanjani, lakini pia Nitakwambia kwa Simba ya Zoran, Okwa ili awe na Thamani anatakiwa kuchezeshwaje. Usisahau kupitia Hapa Nitakupa Picha halisi ya Vita ya Namba ninayoiona kutokana na Usajili wa Okwa Msimbazi. Kaa hapo hapo, tena kwa Kutulia na Ili Kuhakikisha kuwa hupitwi na chochote Nakuomba SUBSCRIBE kisha Bofya alama ya kengele; SoccerData imejipanga kukushushia Mawe ya Kiufundi na kuisogeza Timu yako karibu nawe. Tufuate kule Instagram na Facebook kwa Jina la SoccerdATA Tanzania. Bila kupoteza muda acha tuanze;