Hatimaye Azam FC imepata ushindi wake wa kwanza baada ya mechi saba, ikiichapa Polisi Tanzania bao 1-0 katika mchezo wa ligi kuu uliopigwa Desemba 31, 2020 kwenye uwanja wa Ushirika, Moshi. Goli pekee la Azam lilitiwa nyavuni na Ismail Aziz kada dakika ya 88. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz