Content removal request!


MAGOLI: CHIPUKIZI 1 - 4 SIMBA SC; (MAPINDUZI CUP - 04/01/2019)

Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania, Simba SC hii leo wameyaanza kwa kishindo mashindano ya Kombe la Mapinduzi yanayoendelea visiwani Zanzibar. Ile dozi ya 4G imeanza leo huku Chipukizi FC wakiwa 'wahanga' wa kwanza. Tazama mabao yote ya Simba SC yakiwekwa nyavuni na Meddie Kagere, Nicolaus Gyan na nahodha John Bocco.