Timu ya Ihefu SC imepata ushindi wa tatu mfululizo ukiwa ndiyo ushindi wake mkubwa zaidi msimu huu kwa kuicharaza Coastal Union mabao 3-0 katika mchezo wa ligi kuu ulichezwa kwenye Dimba la Highland Estate, Mbarali mkoani Mbeya. Andrew Simchimba amefunga magoli mawili huku goli la tatu likitiwa nyavuni na Raphael Daud Loth. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz