POLISI VS NAMUNGO: Timu ya Namungo FC imepoteza mchezo kwa kipigo cha mabao 2-1 kutoka kwa Polisi Tanzania katika mwendelezo wa ligi kuu Tanzania Bara, mchezo ukipigwa kwenye Dimba la Ushirika, mjini Moshi. Magoli ya Polisi Tanzania yamefungwa na Kassim Haruna pamoja na Gelard Mathias Mdamu huku Fred Tangalo akifunga bao pekee la Namungo. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz