Content removal request!


Simba walivyomaliza ligi kwa kuitandika Polisi Tanzania 2-1 - Highlights 26/07/2020

Ilikuwa ni mechi ya kufungia msimu wa VPL kati ya Polisi Tanzania dhidi ya Simba SC iliyopigwa kwenye Dimba la Ushirikia, Moshi, Simba wakipata ushindi wa mabao 2-1 wafungaji wakiwa ni John Bocco aliyeifungia Simba mabao mawili, na Marcel Kaheza aliyefunga kwa penati. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz