Jerry Tegete ‘akiwakaanga’ wachezaji wenzake wa Kagera Sugar (MAKALA - TPL 2018/19)
Jerry Tegete ‘akiwakaanga’ wachezaji wenzake wa Kagera Sugar (MAKALA - TPL 2018/19)

Mshambuliaji mpya wa timu ya Kagera Sugar, Jerry Tegete amechukua jukumu la kuwa mtangazaji na kuwafanyia mahijiano baadhi ya wachezaji wenzake wa Kagera, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya msimu mpya wa Ligi. Baadhi ya wachezaji waliokumbwa na maswali ya Jerry Tegete ni Edward Christopher, Japhet Makalai, Omary Mponda na Paul Nguwai. Wachezaji hao wamezungumzia kwa ujumla walivyojipanga na Ligi Kuu msimu huu, huku wakiongelea mazingira yalivyo ndani ya timu hiyo pamoja na maisha yao binafsi nje ya soka, bila kusahau kilichowafanya wayumbe msimu uliopita kiasi cha kupambania kutoshukia daraja. Tegete amewagawa wachezaji hao katika makundi mawili, moja likiwa ni wachezaji wapya waliosajili msimu huu na kundi lingine ni wachezaji wenyeji waliokuwepo msimu uliopita. Katika mahojiano haya, mshambuliaji Edward Christopher ameeleza sababu za kuifunga Simba mara kwa mara tangu aachane na klabu hiyo huku akitaja chanzo cha baadhi ya majina ya utani ambayo amekuwa akipewa. Tazama mahojiano haya.



CECAFA KAGAME CUP 2018: FULL HIGHLIGHTS: AZAM FC 4-2 RAYON SPORTS (9/7/2018)
CECAFA KAGAME CUP 2018: FULL HIGHLIGHTS: AZAM FC 4-2 RAYON SPORTS (9/7/2018)

6:59 Homa imenizidia OSS Balantanda Recommended for you 6:24 Masanja alivyowajia juu watu msiba wa mtoto wa Muna Love Mtanzania Digital Recommended for you New 19:26 Mpaka Home: Haya Ndiyo Maisha Halisi ya Bambo, Global TV Yamuibukia Usiku Global TV Online Recommended for you 10:12 JPM azidi kuonesha makali yake "2020 Njia ni Nyeupe Kabisa" Topten Tv 42K views New 3:16 Mkude Simba na Bwakila Efm Radio Tanzania 405K views 3:15 Goli, Simba 1 - 0 As ports KAGAME CUP ShutikaliTV 42K views New 19:22 03.11.2007. Arsenal vs Man Utd WSH Recommended for you Makonda Alivyokosa Penalti Mechi ya Wabunge Vs Mabalozi Usalama Barabarani Global TV Online 126K views Kauli ya kwanza ya Mwigulu tangu atenguliwe “Nitaacha Ubunge?” Millard Ayo 149K views New Kocha Masoud djumaa Awachana wanaosema Pascal wawa ni mzee ShutikaliTV 6.6K views New Baba mzazi wa Patrick afunguka kuhusu Muna Love, Casto Dickson Mtanzania Digital 263K views New MITIMINGI # 180 UKITAKA KUMFANYA MWANAUME(MUME) AWE WAKO TU, ASIWE WETU. FANYA HAYA UTADUMU NAYE. MITIMINGI ONLINE TV Recommended for you mwajuma- MARIJANI RAJAB jphamber Recommended for you Mimi Ni Malaya/Natongoza Wanaume/ Siwezi kuwa Na Mwanaume Mmoja-FEY Mid One Tv 13K views New Hivi ndivyo ilivyotua Ndege kubwa Boeing 787-8 na kupokelewa na JPM Habari Mpya 101K views New Masoud Djumaa baada ya simba kuwakufunga As ports Asema haya ShutikaliTV 10K views New Kangi Lugola 'analiamsha dude'. Tazama anachokimaanisha? Azam TV 20K views New Namna JPM alivyoipokea ndege mpya Boeing 787-8 Dreamliner Mtanzania Digital 90K views New Manara Afungukia Uvumi wa Simba kumtimua Beki Wawa, Je Kwasi atachukua nafasi Yake Maisha Tv 26K views New Mshambuliaji nyota wa mabingwa watetezi Azam FCShaban Idd Chilunda anaipeleka timu yake nusu fainali baada ya kufunga magoli manne na kufikisha magoli SABA katika michuano ya mwaka huu. Chilunda ndiye anayeongoza katika safu ya wapachika mabao mpaka sasa. FT'- AZAM FC 4-2 RAYON SPORTS



Maisha Chavda with don bosco
Maisha Chavda with don bosco

Maisha chavda international game with CS Don Bosco vs Zesco United(zambia) 1-0




« Previous


Popular Tags

#Russell Westbrook  #Shaquille O'Neal  #Cleveland Cavaliers  #Gareth Bale  #Goalkeeper Saves  #Mesut Ozil  #Best Goals  #Golden State Warriors  #Zlatan Ibrahimovi  #Kobe Bryant  

Popular Users

#twitter  #kevinlove  #nfl  #alexmorgan13  #imVkohli  #serenawilliams  #DeAndre  #billbarnwell  #AntDavis23  #cesc4official  #TimTebow  #LAKings  #Buccigross