Content removal request!


SALAMBA Kutengenezea FREMU Viatu vya Mchezaji wa SEVILLA

SALAMBA Kutengenezea FREMU Viatu cvya Mchezaji wa SEVILLA Mshambuliaji wa Simba Adam Salamba alionekana katika televisheni akiomba viatu kwa nahodha wa Éver Banega wa Sevilla ambapo kitendo hicho kimepokelewa kwa namna tofauti na mashabiki na wadau wa soka nchini, hasa wakikichukulia katika mrengo hasi. Hilo limeonekana kama jambo geni na la ajabu, hili si jambo geni na hata kama lingekuwa ni jambo geni bado halina ajabu yoyote kwani ni sehemu ya mchezo ukizingatia wote walikuwa wakicheza uwanjani. Ni jamba ambalo halitakiwi kuchukulwa wa wepesi kwani kwa mchezaji wa umri kama wa Salamba kucheza dhidi ya mchezaji kama Banega ni kitu kikubwa na historia katika maisha yake ya soka, kitendo cha kuomba viatu vya Banega baada ya game baadhi ya watu mitandaoni wamekipokea tofauti lakini ni kitendo cha kawaida na kimewahi kutokea katika soka mara kadhaa. #ADAMSALAMBA Https://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho