๐Ÿ›‘#LIVE:YANGA YATANGAZA LIST NZIMA YA WACHEZAJI WALIOACHWA MSIMU HUU,YATAJA WACHEZAJI WOTE WAPYA LEO
๐Ÿ›‘#LIVE:YANGA YATANGAZA LIST NZIMA YA WACHEZAJI WALIOACHWA MSIMU HUU,YATAJA WACHEZAJI WOTE WAPYA LEO

#Yangasc #Usajilimpya #TetesizausajilimpyaYangasc Wachezaji wa Yanga Waliosajiliwa Leo 1. Nyota mpya wa Yanga SC, Albert Kangwanda, amemaliza msimu wa 2025/26 kwa kutwaa tuzo ya Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya Zambia (MVP) baada ya kuonyesha kiwango bora katika msimu mzima. Takwimu zake za msimu kwenye michuano yote: Mechi: 32 Magoli: 17 Asisti: 9 Mchezaji Bora wa Ligi (MVP) Timu alizowahi kuchezea: Red Arrows FC Kafue Celtic FC Zanaco FC Kafue Celtic FC HNK Gorica NK Hrvatski Dragovoljac Red Arrows FC Al-Hilal Omdurman Red Arrows FC Spartanii Sportul Red Arrows FC Wananchi, mnaipa alama ngapi usajili wa Albert Kangwanda? Huyu ni Winga fundi sana na anapiga free kick vibaya mno 2. Peter shalulile mshambuliaji wa Namibia na Mamelod Sundown Yanga wamekamilisha usajili wa mshambuliaji wa zamani wa Mamelodi Sundows ,Peter Shalulile (32). Baada ya mazungumzo ya muda mrefu Shalulile amesinya miaka miwili Yangaโœ… Yanga wamempa $700,000 (1.8 bilion) kama Sign-on fee. Kipindi ambacho watu wote akili zao zipo kwa Stephane Aziz Ki, viongozi wa Yanga SC wao wakasema hapana-huko tulishapita na mambo yamebadilika! Wakati mnasubiri kuona nani anafuata baada ya Allan Okello (top player kusajiliwa na kuonesha), mabingwa wa nchi wakaona washushe chombo cha viwango vya juu kabisa vya CAF. Hapa hatuongelei mchezaji wa kawaida, naongelea funga kazi Bingwa wa Afrika akiwa na Mamelodi Sundowns, mashine hatari ya kucheka na nyavu, PETER SHALULILE anatua Jangwani๐ŸŸข๐ŸŸก rasmi on a free transfer . Takwimu za Peter Shalulile Mabao ya Ligi Kuu ya Afrika Kusini (PSL / SAPD): Mabao 112 (mabao 44 akiwa na Highlands Park na mabao 68 akiwa na Mamelodi Sundowns). Mabao ya CAF Champions League: Mabao 15 (yote akiwa na Mamelodi Sundowns, ambapo pia alikuwa mfungaji bora wa mashindano hayo mwaka 2023). Mabao kwenye Mashindano Yote (Klabu): Mabao 153 katika michezo 353 (mabao 49 Highlands Park na mabao 104 Mamelodi Sundowns). 3. Housseine Zakouani Winga kutoka Ufaransa lkn anawakilisha timu ya Taifa ya Comoro ni Winga fundi haswaaa 4. Cheikh Ibrahima Tourรฉ ni mshambuliaji mwenye asili ya Senegal na Ufaransa, anayejulikana kwa uwezo wake mkubwa wa kufunga mabao na kuongoza safu ya ushambuliaji. Kabla ya kujiunga na Yanga SC, Tourรฉ alikuwa akicheza nchini Saudi Arabia, ambako alikuwa na msimu bora uliomfanya kuwa miongoni mwa washambuliaji waliofanya vizuri. Takwimu zake msimu uliopita: Mechi: 34 Mabao: 20 Asisti: 5 Tourรฉ anajiunga na Yanga akiwa na rekodi nzuri na matarajio makubwa ya kuongeza nguvu katika safu ya ushambuliaji ya mabingwa hao wa Tanzania. 5. Eric Mwijage Winga kutoka KMC amewahi kupita pia Kagera Sugar amesaini mkataba wa Miaka 2 6. Mohamed Mussa mlinzi wa kati kutoka Mashujaa 7.Juma Abushir Aka Messi wa Chuga kutoka Fountain Gate 8. Hussein Juma Mihambo straika kutoka Mashujaa amewahi kupita jomo 9.Abdulnasir Asa Gamal Mlinzi Winga kutoka Mashujaa 10. Fred ngoma kiungo kutoka Olympic de Club safi Morocco 11. Marco maarufu kama mpemba D Wachezaji wanaotemwa Yanga 1. Prince Dube amejiunga na hard rock ya Zimbabwe kwao 2. Mohamed Damaro 3. Frank Assink 4. Bubah Jammeh 5. Mohamed Doumbia 6. Balla Conte 7.Farid Mussa free agent amejiunga na Coastal Union ya Tanga 8. Celestine Ecua 9. Israel Mwenda amerejea Singida BS 10.Lassine kouma 11. Emmanuel Mwanengo Mkopo ameenda TRA United 12. Shekhan Khamis Mkopo Singida BS Walioongezewa mkataba mpya 1. Yao kouassi 2. Kibwana shomari 3.Salum Abubakari Sure boy 4. Bakari Mwamnyeto 5. Shadrack Boka 6. Denis Nkane Hii ndiyo orodha ya wachezaji 12 wa kigeni wa Yanga SC kuelekea msimu wa 2026/27, huku klabu hiyo ikiendelea kusuka kikosi cha kupambana kwenye mashindano mbalimbali. ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฎ 1. Diarra Djigui ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฎ 2. Kouassi Yao ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฎ 3. Boka Shadrack ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฒ 4. Max Nzengeli ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช 5. Duke Abuya ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฌ 6. Allan Okello ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฆ 7. Peter Shalulile ๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ท 8. Ibrahima Tourรฉ ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฒ 9. Albert Kangwanda ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฌ 10. Fred Ngoma ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ฒ 11. Housseine Zakouani ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ด 12. Laurindo Depu 13. Pacome Zouzoua Pacome Zouzoua naye yupo nje kutokana na majeraha na taarifa zinaeleza kuwa hatakuwa sehemu ya msimu ujao



๐Ÿ›‘#LIVE:YANGA YATANGAZA WACHEZAJI WOTE WAPYA WALIOSAJILIWA,SHALULILE, GIRUMUGISHA,AZIZI KI NA HAWA
๐Ÿ›‘#LIVE:YANGA YATANGAZA WACHEZAJI WOTE WAPYA WALIOSAJILIWA,SHALULILE, GIRUMUGISHA,AZIZI KI NA HAWA

#Petershalulile #JeanGirumugisha #Azizki #Yangasc #Tetesizausajilimpya Wachezaji wa Yanga Waliosajiliwa Leo 1. Justice Figuareido kutoka Chipa United South Africa raia wa Eswatin ,TAKWIMU ZA JUSTICE FIGUAREIDO | MSIMU WA 2025/26 ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ฟ Nyota wa kimataifa wa Eswatini, Justice Figuareido, ambaye hucheza kama winga na pia mshambuliaji wa kati ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ BETWAY PREMIERSHIP (Chippa United) โšฝ Mechi: 26 ๐Ÿฅ… Magoli: 2 ๐ŸŽฏ Asisti: 5 โฑ๏ธ Dakika alizocheza: 1,858 ๐ŸŒ FIFA World Cup Qualifiers (Eswatini) ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ฟ Mechi: 9 โšฝ Magoli: 3 2. Thulani Gumede winga huyu kutoka Richardbay ya Afrika kus Rasmi niko hapa kuthibitisha Young Africans SC ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ ipo hatua za mwisho za kukamilisha usajili wa Winga Thulani Gumede mwenye umri wa miaka (25) raia wa Afrika Kusini ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ kutoka Richards Bay FC kwaajili ya kuitumikia klabu hiyo kwa msimu ujao 2026-27. Thulani Gumede ni pendekezo la kocha mpya wa Klabu hiyo Manqoba Mngqithi, Hii ni mara baada ya kumkosa Winga Keletso Makgalwa aliyetimkia Simba SC kwa ushawishi mkubwa zaidi wa kocha Steve Barker, Gumede ana uwezo wa Kucheza Winga ya Kulia na Kushoto kwa ustadi mkubwa, Akiwa na Richards Bay amefunga Mabao (5) na Assists (5) katika Mechi (64). 3. Housseine Zakouani Winga kutoka Ufaransa lkn anawakilisha timu ya Taifa ya Comoro . 4.Azizi Ki amerejea tena Yanga Kwa mkataba wa Miaka 2 kutoka Al Ittihad ya libya 5. Eric Mwijage Winga kutoka KMC amewahi kupita pia Kagera Sugar amesaini mkataba wa Miaka 2 6. Mohamed Mussa mlinzi wa kati kutoka Mashujaa 7.Juma Abushir Aka Messi wa Chuga kutoka Fountain Gate 8. Hussein Juma Mihambo straika kutoka Mashujaa amewahi kupita jomo cosmas ya south Africa na aliwahi kufanya majaribio Dubai ni kinda aliyetikisa Zaidi na Serengeti Boys,msimu huu Kafunga goli 1 pekee dhidi ya Fountain Gate 9. Abdulnasir Asa Gamal Mlinzi/Winga Mashujaa 10. Morice Chukwu kiungo na mlinzi wa kati Kutokea Singida BS Tetesi wanaohusishwa kusajiliwa 1. Jean Girumugisha WINGA fundi na hatari Zaidi Barani Africa MVP wa Ligi ya Rwanda msimu uliopita alihusishwa kutambulishwa na mabwanyenye wa Libya Al Ahly Tripol lakini inaonekana Yanga wamemnasa ngoja tusubiri muda utafika inaelezwa hii itakuwa surprise package ya Yanga pale uhuru stadium kwenye Yanga Day 9.8.2026 2. Alphonce Mabula mtanzania anayekipiga huko Bahrain Azerbaijan 3. Peter shalulile mshambuliaji wa Namibia na Mamelod Sundown Wachezaji wanaotemwa Yanga 1. Prince Dube amejiunga na hard rock ya Zimbabwe kwao 2. Mohamed Damaro 3. Frank Assink 4. Bubah Jammeh 5. Mohamed Doumbia 6. Balla Conte 7.Farid Mussa free agent 8. Celestine Ecua 9. Israel Mwenda amerejea Singida BS 10.Lassine kouma 11. Emmanuel Mwanengo Mkopo ameenda Singida 12. Shekhan Khamis Mkopo Singida BS Walioongezewa mkataba mpya 1. Yao kouassi 2. Kibwana shomari 3.Salum Abubakari Sure boy 4. Chadrack Boka 5. Bakari Mwamnyeto Wachezaji wa Kigeni waliosalama Yanga Sc 1.๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฑ Djigui Diarra 2.๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฎ Yao Kouassi 3.๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ Chadrack Boka 4.๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช Duke Abuya 5.๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ Maxi Nzengeli 6.๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ด Laurindo Depu 7.๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฌ Allan Okello 8.๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฎ Pacome Zouzoua



MCHEZAJI WA MAMELODI AFARIKI DUNIA KUJINYONGA, MAPYA YAIBUKA UKWELI HUU HAPA
MCHEZAJI WA MAMELODI AFARIKI DUNIA KUJINYONGA, MAPYA YAIBUKA UKWELI HUU HAPA

๐Ÿšจ ๐๐‘๐„๐€๐Š๐ˆ๐๐† ๐๐„๐–๐’ :๐Ÿ•Š๏ธ R I P JAYDEN ADAMS ( 25 ) ๐Ÿ˜ขNyota wa Mamelodi na timu ya taifa ya South Africa, Jayden Adams (25) amefariki dunia leo. Kiungo huyo amefariki dunia siku chache baada ya kushiriki fainali za kombe la Dunia, Marekani lakini mpaka sasa chanzo cha Kifo chake hakijawekwa wazi. ๐Ÿ—ฃ๏ธ๐Ÿ™† Ripoti zinasema Jayden Adams aliingia bafuni Kwake, akafunga mlango na kujinyonga. SAUTI @farhankiham KAMFOLOW INSTAGRAM



SELEMAN MWALIMU AMWAGA MACHOZI UWANJANI AKISIMULIA SAFARI YA MAISHA YAKE
SELEMAN MWALIMU AMWAGA MACHOZI UWANJANI AKISIMULIA SAFARI YA MAISHA YAKE

Moshi. Mshambuliaji wa Simba SC na Taifa Stars, Selemani Mwalimu, ameshindwa kuzuia hisia zake na kuangua kilio wakati wa hafla ya ufunguzi wa Uwanja wa Mandela uliopo kata ya Pasua mjini Moshi mkoani Kilimanjaro, iliyoandaliwa kuelekea kuanza kwa michuano ya Zuberi Cup 2026. Mwalimu amelia alipokuwa akisimulia maisha magumu aliyopitia kabla ya kufanikiwa katika soka, akisema uwanja huo una kumbukumbu nyingi za safari yake ya kutafuta mafanikio. Akizungumza na waandishi wa habari mjini Moshi, Mwalimu amesema akiwa pamoja na rafiki yake, Maulid, walikuwa wakifika uwanjani hapo usiku wa manane kufanya mazoezi licha ya kukosa vifaa muhimu, wakiamini siku moja ndoto zao zingetimia. "Huu uwanja una historia kubwa sana kwenye maisha yangu. Mimi na mshikaji wangu Maulid tuliteseka sana hapa. Kuna kipindi tulikuwa tunakuja kufanya mazoezi usiku wa manane tukiwa hatuna hata viatu, tukiamini ipo siku tutatoboa. Kurudi hapa leo nikiwa hivi, siamini macho yangu. Namshukuru Mungu sana," amesema Mwalimu huku akifuta machozi. Kauli yake iliyoambatana na kilio imegusa wengi waliohudhuria hafla hiyo, huku baadhi wakimshangilia na wengine wakionekana kuguswa na simulizi hiyo ya maisha yake.



Senegal vs Tanzania Arusha 24 is live
Senegal vs Tanzania Arusha 24 is live

Senegal U17 defeated Tanzania U17 1โ€“0 in the 2026 U-17 Africa Cup of Nations Final played today, June 2, 2026, at Stade Prince Hรฉritier Moulay Hassan in Rabat, Morocco. Senegal are now crowned champions, while Tanzania finish as proud runners-up after a historic tournament run. Global Sp... +2 --- ๐Ÿ† Match Overview โ€ข Date & Time: June 2, 2026, 21:00 local time (19:00 UTC). โ€ข Venue: Stade Prince Hรฉritier Moulay Hassan, Rabat, Morocco. โ€ข Final Score: Senegal U17 1 โ€“ 0 Tanzania U17. โ€ข Referee: Rafik Aouina (Morocco). Global Sport... --- โšฝ Road to the Final Tanzania U17 โ€ข Beat Algeria U17 on penalties (4โ€“3) in quarterfinals. โ€ข Defeated Egypt U17 1โ€“0 in semifinals. โ€ข Showed resilience with strong defensive play and penalty composure. Flashscore.info Senegal U17 โ€ข Knocked out Mali U17 on penalties (2โ€“1). โ€ข Beat Morocco U17 2โ€“1 in semifinals. โ€ข Consistent attacking flair and tactical discipline. Flashscore.info --- ๐Ÿ“Š Key Match Stats Stat Senegal U17 Tanzania U17 Goals 1 0 Possession Slightly higher Compact defense Chances Created Multiple Limited Tournament Record Champions Runners-up --- ๐ŸŒ Significance โ€ข Senegal U17: This victory adds to Senegalโ€™s growing reputation in African youth football, following their senior teamโ€™s AFCON success in 2022. โ€ข Tanzania U17: Despite the loss, reaching the final for the first time ever is a landmark achievement. It boosts Tanzaniaโ€™s football profile ahead of AFCON 2027, which Arusha and other Tanzanian cities are preparing to host. Flashscore.info --- ๐Ÿ”ฅ Why It Matters for Tanzania โ€ข Youth Development: Tanzaniaโ€™s U17 squad showed promise, signaling a bright future for the national team. โ€ข Local Pride: Fans in Arusha and across Tanzania celebrated this run as historic, with hopes that these players will strengthen Simba SC, Yanga SC, and the senior Taifa Stars. โ€ข Momentum for AFCON 2027: This performance builds excitement as Tanzania gears up to host Africaโ€™s biggest football event.




Next »


Popular Tags

#Football Defensive Skills  #Best Champions League  #Shot Goals  #Mesut Ozil  #Mesut Ozil  #Manuel Neuer  #Gareth Bale  #Paul Pogba  #Zlatan Ibrahimovi  #LeBron James  

Popular Users

#serenawilliams  #instagram  #cesc4official  #hunterpence  #ArianFoster  #BellaTwins  #RobbieSavage8  #JasonDufner  #Joey7Barton  #imVkohli  #jadande  #richarddeitsch  #KylieJenner  #themichaelowen  #MikePereira