Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars WENYEJI, Yanga SC wametoka nyuma na kushinda 3-2 dhidi ya Mwadui FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya ...
Golikipa wa Mwadui FC akizungumza baada ya Mchezo wao dhidi ya Yanga SC, amesema katika mchezo wa leo alipanaga yanga wasipate goli lakini haikuwa ...
Yanga vs Mwadui Leo Mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara Uliofanyika katika uwanja wa Benjamini Mkapa. Kwetu Sport inakuletea Magoli yote katika Mechi Ya ...
Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ▻INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ▻INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ...
#mwalimukashasha #yanga #mwadui #tbconline #htmnews #subscribe kwa taarifa nyingi zaidi....ccc...2021.
YANGA 3-2 MWADUI: Yanga SC wamezitumia dakika nne za nyongeza kupata magoli mawili muhimu yaliyowapa ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Mwadui FC katika mchezo wa ligi kuu uliopigwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Magoli ya Yanga yamefungwa na Bakari Mwamnyeto, Yacouba Songne na Wazir Junior wakati magoli yote mawili ya Mwadui yakifungwa na Aniceth Revocatus. Katika hatua nyingine, Fiston Abdoulrazack wa Yanga amekosa penati kwenye mchezo huu, iliyopanguliwa na golikipa Mussa Mbisa. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
MATOKEO VPL/YANGA NA COME BACK YAKIBABE DHIDI YA MWADUI FC/BISHARA NA USHINDI WA BAO MOJA.