Mtibwa Sugar 0-2 Yanga | Highlights | NBC Premier League 23/02/2022
Mtibwa Sugar 0-2 Yanga | Highlights | NBC Premier League 23/02/2022

Vinara wa ligi kuu ya NBC, Yanga SC wameipiga Mtibwa Sugar mabao 2-0 kwenye Manungu Complex mkoani Morogoro. Magoli ya Yanga yametoka kwa Saidi Ntibazonkiza dakika za nyongeza kipindi cha kwanza na Fiston Mayele dakika ya 66



DAAH😂 SIKIA TAMBO ZA DAUD YANGA BAADA YA KUICHARA MTIBWA SUGAR/TULISEMA MAPEMA
DAAH😂 SIKIA TAMBO ZA DAUD YANGA BAADA YA KUICHARA MTIBWA SUGAR/TULISEMA MAPEMA

Ligi kuu ya NBC, Leo Februari 23, 2022, Moto Utawaka🔥 Uwanja wa Manungu Mkoani Morogoro kati ya Wenyeji Mtibwa Sugar na Mabingwa Wa Kihistoria Yanga Sc. Mpenja TV tuko hapa Morogoro kukuletea Updates zote za mchezo huu. Endelea kuwa nasi na asante kwa kutuchagua.. #MtibwaSugarVsYangaSc #MtibwaSugar #YangaSc #NBCPremierLeague #MpenjaTV



#EXCLUSIVE: BUMBULI Amjibu AHMED ALLY - "ANAJITUTUMUA TU, ANAJUA UKWELI KWAMBA YANGA TUMEJIPANGA"
#EXCLUSIVE: BUMBULI Amjibu AHMED ALLY - "ANAJITUTUMUA TU, ANAJUA UKWELI KWAMBA YANGA TUMEJIPANGA"

#EXCLUSIVE: BUMBULI Amjibu AHMED ALLY - "ANAJITUTUMUA TU, ANAJUA UKWELI KWAMBA YANGA TUMEJIPANGA" Global TV imepiga stori na Afisa Habari wa Klabu ya Yanga, Hassan Bumbuli ambaye amezungumzia mechi yao ya Ligi Kuu dhidi ya walima miwa, Mtibwa Sugar utakaopigwa katika uwanja wa Manungu Februari 23, 2022. ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vDNQjLA5ikELAOcJp5XrakD ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vD-h-a328gR3qltQXYWVQiO ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline



KUDADEKI🔥🙌 MSEMAJI WA SIMBA AHMED ALLY ATUMA SALAMU KWA MTIBWA SUGAR/TUTAWAFUNGA HAPO HAPO MANUNGU
KUDADEKI🔥🙌 MSEMAJI WA SIMBA AHMED ALLY ATUMA SALAMU KWA MTIBWA SUGAR/TUTAWAFUNGA HAPO HAPO MANUNGU

🙌🔥🔥🔥Mambo ni Moto Kuelekea mchezo wa Ligi kuu ya NBC kati ya mwenyeji Mtibwa Sugar🎋dhidi ya Mabingwa Watetezi Simba Sc 🦁ambao utapigwa Uwanja wa Manungu Complex Januari 22/2022. Mpenja Tv tumefanya mahojiano na Meneja wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano cha Simba Sc Ahmed Ally amezungumzia maandalizi yao kuelekea mchezo huo... Fungua Video hii kupata Habari Kamili.. #MtibwaSugarVsSimbaSc #MtibwaSugar #SimbaSc #ManunguComplex #MpenjaTv




« Previous Next »


Popular Tags

#Lionel Messi  #Thomas Muller  #Neymar  #Counter Attack Goals Football  #Sergio Aguero  #Football Defensive Skills  #Best Goals Ever  #Paul Pogba  #Zlatan Ibrahimovi  #Goalkeeper Saves  

Popular Users

#katyperry  #DjokerNole  #RobbieSavage8  #JJWatt  #SportsCenter  #josecanseco  #CNN  #wizkhalifa  #JasonDufner  #shakira  #Buccigross  #GNev2  #BrunoMars  #richarddeitsch