KOCHA MBEYA KWANZA "SIMBA SC WAMESTAHILI KUSHINDA MECHI/ TULIJITAHIDI KUZIBA"...
KOCHA MBEYA KWANZA "SIMBA SC WAMESTAHILI KUSHINDA MECHI/ TULIJITAHIDI KUZIBA"...

🙌Kwa Mkapa Tena🔥🔥Ligi kuu ya NBC leo Jumapili Februari 06, 2022, ni Pira Biriani dhidi ya Pira Mchele wa Mbeya kutoka kwa Mbeya Kwanza😜Huku Maka Mwalisi kule Seleman Matola Moto utawaka🔥🔥 🤝Huu ni mchezo wenye mvuto na msisimko mkubwa katika Ligi kuu ya NBC.. Mpenja TV tupo hapa Benjamin Mkapa Stadium kuhakikisha unapata habari zote za Mtanange huu. Endelea kubaki nasi.... #SimbaScVsMbeyaKwanza #mbeyakwanza #SimbaSc #NBCPremierLeague #MpenjaTv



Alichokisema Manara atoboa Siri Morrison kufukuzwa Simba,Alipwe pesa zake,Kumbumbatia Barbara CEO
Alichokisema Manara atoboa Siri Morrison kufukuzwa Simba,Alipwe pesa zake,Kumbumbatia Barbara CEO

Alichokisema Manara atoboa Siri Morrison kufukuzwa Simba,Alipwe pesa zake,Kumbumbatia Barbara CEO Alichokisema Bernard Morrison Atoa Tamko zito kuhusu Kurudi Yanga baada ya kufukuzwa Simba,,! Breaking:Simba Wamsimamisha Bernard Morrison, Manara ashindwa kujizuia,Avujisha siri anatua Jangwani Alichokisema Manara kuhusu Mwamuzi mechi ya Simba vs Tz Prisons, Avujisha maamuzi magum,Hovyo hafai KIPYENGA CHA MWISHO:Osman Kazi Alivyotoa Utata! Penalt walio pewa Simba dhidi ya Tz Prisons (1-0),,! Video:TFF watoa Tamko Zito Kumfungia Mwamuzi wa Simba vs Tanzania Prisons (1-0)Penalt ya Mchongo Alichokisema Manara baada ya Simba kuishinda Tanzania Prison (1-0)Penalt walio pewa,Makolo Wanabebwa Goli la Penalt Kagere 69' Min Simba vs Tanzania Prisons 1-0 | Ligi kuu ya NBC Tanzania Highlights Simba vs Tanzania Prisons 1-0| Goli la Kagere 69' min P' Ligi kuu ya NBC Tanzania Highlights Simba vs Tanzania Prisons 0-0| kosa kosa Timu zote :Ligi Kuu ya NBC Tanzania Highlights 🔴LIVE:SIMBA SC VS TANZANIA PRISONS | LIGI KUU YA NBC TANZANIA (NBCPL) Alichokisema manara na Wanachama wa Yanga kuhusu mchezo wa Simba vs Tanzania Prisons,Ligi kuu NBC TZ Mastaa Yanga Wapigwa marufuku kutumia Piza na Baga,Majeruhi ya Gafra, kuto kupona haraka,Daktari wa Jeuri ya Ubingwa Yanga hapa,Nabi afunguka, Mayele aubdiwa kamati maalum Atoa tamko,,,! Manara amuelezea Fiston Mayele Mshambuliaji Wa Yanga kutoka DR Congo "Ni Zaidi ya Straika" Bongo,,,! Alichokisema Manara kuhusu mchezo wao na Mbeya city,Ubingwa ligi Kuu "Makolo Wana Uzuzu "No kiporo,! Breaking:GSM, Manji, Rostam wamwaga mabilion Yanga, Mfumo mpya wa Kisasa, Uchaguzi wa Rais,neema juu Alichokisema Manara kuhusu Ratiba mzunguzo wa Tano Azam sports Federation Cup Ruvu shooting vs Simba Mayele Limemkuta Jambo Yanga, Nabi Ampa Onyo, Kibwana anahesabu siku Yanga Matola Atoa kauli ,,,! Nabi:Hakuna wa kutuzuia aahidi balaa,atenga dakika 270 za mauaji Yanga,mechi 13 bila kipigo,,,! Alichokisema Manara baada ya Simba kuifunga Dar city (6-0)ASFC "Makolo wamepata Size yao" Dar Sec,,! Tazama Magoli Yote Simba Vs Dar City 6-0| Azam Sports Federation Cup Highlights Magoli Yote Simba vs Dar city 5-0| Azam sports Federation cup ASFC Highlights Simba vs Dar city 5-0| Magoli Yote Azam sports Federation Cup (ASFC) Highlights 🔴LIVE:SIMBA SC VS DAR CITY FC | AZAM SPORTS FEDERATION CUP (ASFC) BENJAMIN MKAPA STADIUM Alichokisema Manara kuelekea mchezo Wa Kombe la shirikisho la Azam sports Simba dhidi ya Dar City,,! Golikipa Mpya wa Yanga Abutwarib Msheri Afunguka Mazito ujio wa Djigui Diarra Ndani ya Yanga,,,! Yanga watikisa na Magolikipa Wawili Wanaofanya vizurii,Djigui Arejea Je? Mshery Kumpisha,Vita mpya Alichokisema Manara baada ya Yanga kuifunga Mbao Fc (1-0) "Kiwango Kibovu" kikubwa ushindi,,,! Goli la Mayele 53' Min Yanga vs Mbao Fc | Azam sports Federation cup (ASFC) Highlights Yanga Sc Vs Mbao Fc 0-0 | Kosa Kosa timu zote :Azam Sports Federation cup (ASFC) Highlights 🔴LIVE:YANGA SC VS MBAO FC | AZAM SPORTS FEDERATION CUP (ASFC) CCM KIRUMBA LEO Kocha Wa Yanga Atangaza Kikosi Cha kwanza cha Yanga dhidi ya Mbao Fc Azam sports Federation cup Yanga Yapata Pigo Zito wachezaji (11) kuikosa Mbao Fc kesho Azam sports Federation cup (ASFC) Alichokisema manara kuelekea mchezo wa kombe la Azam sports Federation cup "mtafungwa makolo" Maboss Wa Yanga GSM Wamuita Mshambuliaji tishio kutoka DR Congo Fiston Mayele Fasta,Mkataba,Hawaachi Yanga Hawazuiliki Waonyesha dalili 5 za Ubingwa,Sita watupwa Nje Aucho ndani,Simba kuhujumiwa Alichokisema Manara kuhusu Kocha wa Simba "Kocha Wa Mchongo" Makolo ni Mazuzu,Wanajambo jipya wiki h Breaking:TFF kuishushia Simba Rungu nzito baada ya kugomea Interview za Azam baada ya kufungwa jana Msimamo wa Ligi kuu ya NBC Tanzania baada ya mechi moja ya leo Tarehe 26 Jannuary 21/2022, Yanga Top Alichokisema Afisa habari wa Simba Ahmed Ally baada ya Kagera sugar kuifunga Simba Sc (1-0)Ubingwa Alichokisema Manara baada ya Kagera sugar kuifunga Simba (1-0) Kaitaba, "Makolo hii ni Trela" Goli la Hamis Kiiza Kagera sugar vs Simba 1-0 | Ligi kuu ya NBC Tanzania Highlights Kagera sugar vs Simba 0-0| Kosa kosa za timu zote :Ligi Kuu ya NBC Tanzania Highlights 🔴LIVE:KAGERA SUGAR VS SIMBA SC | LIGI KUU YA NBC TANZANIA (KAITABA STADIUM) Alichokisema Manara kuelekea mchezo wa Kagera Sugar vs Simba leo Ligi kuu "Makolo Wataichungulia" Breaking:Alichokisema Manara baada ya Ajali waliyopata Mash #SimbaSc #Yanga #NBCPL #YangaSc #RuvuShooting #NBCPL #CAF #JwanengGalaxy #CAF #KlabubingwaAfrika #CAFChampionLeague #YangaSc #Usajiri #TPmazembe #JacksonMuleka #VPL #EPL #Samatta #MoneyHeist #SquidGame #DiamondPlatnumz #ZariTheBossLady #PeterPsquar #Tiffah #WizKidAyo #MohamedRamadan #Davido #Zari #Tiffah #TANASHA #PeterPsquare #NASEEBJUNIOR #Harmonize #AfroEast #KondeBoy #KondeGang #JosephKusaga #Alikiba #WCB MEXTRA #EATV #MbeyaConscious #ActionMovie #BongoMovie #MimiEnock #BingoonlineTv



KOCHA MATOLA BAADA ya KUIFUNGA Polisi - "TUTATANGAZA UBINGWA, BADO MECHI 2 TU"
KOCHA MATOLA BAADA ya KUIFUNGA Polisi - "TUTATANGAZA UBINGWA, BADO MECHI 2 TU"

KOCHA MATOLA BAADA ya KUIFUNGA Polisi - "TUTATANGAZA UBINGWA, BADO MECHI 2 TU" Mtanange wa ligi kuu Bara kati ya wekundu wa Msimbazi, POLISI TANZANIA vs SIMBA SC, Umechezwa leo Juni 19, katika dimba la CCM Kirumba jijini Mwanza.. Dakika 90 za mtanange huo zimemalizika kwa Simba kuondoka na alama tatu kupitia kwa Luis Miqquisone aliyefunga Goli moja lililodumu kwa dakika zote tisini.. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline



Ruvu shooting vs  simba0-3 FT  mkwasa simba sc Bocco Mugalu
Ruvu shooting vs simba0-3 FT mkwasa simba sc Bocco Mugalu

Ruvu shooting vs Simba 0-3 FT haya ndio maneno ya makocha wa pande zote mbili mkwasa &matola yanga simba scdiamond platnumzpremier league highlights todaypl extended highlights #bartonsports Azam tv Barton tv Mugalu Bocco



Simba yafunguka inavyojifua Afrika Kusini kuikabili Kaizer Chiefs, CEO aahidi bonas
Simba yafunguka inavyojifua Afrika Kusini kuikabili Kaizer Chiefs, CEO aahidi bonas

"Siku moja kabla ya mechi tutakaa nao na kuwaeleza bonas watakayopata" - CEO wa Simba, Barbara Gonzalez aweka wazi mpango wa bonas kwa wachezaji kuelekea mechi ya robo fainali dhidi ya Kaizer Chiefs, huku Kocha Msaidizi wa timu hiyo akizungumzia maandalizi ya kikosi kiufundi. Mechi ni Mei 15 saa 1:00 usiku. #SimbaSC #BarbaraGonzalez #SelemanMatola #SimbaAfrikaKusini Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



GOLI LA ONYANGO  LILILOKATALIWA, SIMBA KURUDI KILELENI, KOCHA MATOLA AZUNGUMZA...
GOLI LA ONYANGO LILILOKATALIWA, SIMBA KURUDI KILELENI, KOCHA MATOLA AZUNGUMZA...

GOLI LA ONYANGO LILILOKATALIWA, SIMBA KURUDI KILELENI, KOCHA MATOLA AZUNGUMZA... NI Mtanange wa ligi kuu Tanzania bara kati ya GWAMBINA FC vs SIMBA SC, umechezwa leo Aprili 24, katika uwanja wa Gwambina uliopo Misungwi jijini Mwanza. Dakika 90 za mtanange huo zimemalizika kwa Simba kuondoka na alama tatu kupitia kwa beki wake, Mohamed Hussein.... Baada ya kuifunga Gwambina, Simba imerejea kileleni kwenye msimamo wa ligi kuu Tanzania bara wakifuatiwa na Yanga... ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline




« Previous Next »


Popular Tags

#Neymar  #Best Ball Controls  #Best Goalkeeper Saves  #Michael Jordan  #Mesut Ozil  #Best Champions League  #Allen Iverson  #Philadelphia 76ers  #Gareth Bale  #Anthony Davis  

Popular Users

#Oprah  #TheCUTCH22  #normmacdonald  #BaileyLAKings  #UKCoachCalipari  #AdamSchefter  #LilTunechi  #geniebouchard  #JLo  #TheRealJRSmith  #MikePereira  #TheRock  #NASA  #Cristiano  #Buccigross