Content removal request!


GOLI LA ONYANGO LILILOKATALIWA, SIMBA KURUDI KILELENI, KOCHA MATOLA AZUNGUMZA...

GOLI LA ONYANGO LILILOKATALIWA, SIMBA KURUDI KILELENI, KOCHA MATOLA AZUNGUMZA... NI Mtanange wa ligi kuu Tanzania bara kati ya GWAMBINA FC vs SIMBA SC, umechezwa leo Aprili 24, katika uwanja wa Gwambina uliopo Misungwi jijini Mwanza. Dakika 90 za mtanange huo zimemalizika kwa Simba kuondoka na alama tatu kupitia kwa beki wake, Mohamed Hussein.... Baada ya kuifunga Gwambina, Simba imerejea kileleni kwenye msimamo wa ligi kuu Tanzania bara wakifuatiwa na Yanga... ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline