LWANGA NA WAWA HAWATACHEZA  MECHI IJAYO KIMATAIFA DHIDI YA EL MERREIKH KWA MKAPA,SABABU HII
LWANGA NA WAWA HAWATACHEZA MECHI IJAYO KIMATAIFA DHIDI YA EL MERREIKH KWA MKAPA,SABABU HII

Wachezaji @SimbaSCTanzania Thaddeo Lwanga na Pascal Wawa watakosa mechi ya ijayo dhidi ya @ElMerreikhSDN Dsm wana Yellow Card 2 kila mmoja walizopata(As Vita na El Merreikh). Pia Wachezaji 2 wana Yellow card 1 kila mmoja ni Shomari Kapombe(Simba) na Tajeldin Elnour(El Merreikh.) Sometimes.. Football ni mchezo wa hesabu. Ukizielewa, utaelewa walichokifanya Simba 🦁 Leo mbele ya Al Merrikh Uongozi wa Simba uliwekeza kiwanjani kwa kusajili wachezaji wenye uzoefu na ubora Wakawekeza tena kwenye benchi la Ufundi kwa kuajiri wataalam wenye uzoefu/ubora wa kusoma mbinu za mpinzani na kupata majibu yake Kuna kocha Mkuu Didier Gomes. Kuna Seleman Matola.. Halafu kuna yule Performance analyst kutoka Zimbabwe, Calvin Mavhunga Jopo la watu hawa, ukiongeza na wataalamu wa viungo, ni ishara kuwa Simba ilijiandaa kuwa washindani wa kweli AFRIKA Sina maana kwamba hawatafungwa. Even Barcelona ile ya Pep Guardiola iliwahi kupoteza mechi.. Ninachokimanaisha hapa, Uongozi wa Simba umefanya kazi kubwa ya kuijenga Timu yao msimu huu Robo fainali waliyocheza msimu wa 2018/19 ilikuwa ya 'fluke' tu, ila hii watakayocheza msimu huu (Asilimia 70 wameshafika), Wamejiandaa nayo Haya yanayotokea sasa, hayatokei kwa bahati mbaya. Kuna HATUA UONGOZI WA SIMBA WALIZICHUKUA👍 Hongera kwao @simbasctanzania @moodewji @bvrbvra @crescentius_magori 👏



Matola asema makosa madogo yameifelisha Stars mbele ya Zambia - CHAN 19/01/2021
Matola asema makosa madogo yameifelisha Stars mbele ya Zambia - CHAN 19/01/2021

Kocha msaidizi wa Taifa Stars Selemani Matola, amesema makosa madogomadogo ndio yameifanya Timu ya Taifa ya Tanzania kufungwa magoli 2-0 mbele ya Zambia kwenye mchezo wa michuano ya CHAN. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



Jimmy Kindoki: Amlipua Haji Manara, Matola ''YANGA Wanapambana''
Jimmy Kindoki: Amlipua Haji Manara, Matola ''YANGA Wanapambana''

Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars HABARI MPYA DAILY:https://bit.ly/3c3bEDc HABARI ZA MICHEZO: https://bit.ly/2TAgnWx HABARIZA WASANII: https://bit.ly/2X2f84R HABARI ZA SIASA: https://bit.ly/36r0xCW Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars



KOCHA MATOLA Afunguka SIMBA na YANGA Kukutana TENA - "LAZIMA Tuchukue UBINGWA"
KOCHA MATOLA Afunguka SIMBA na YANGA Kukutana TENA - "LAZIMA Tuchukue UBINGWA"

KOCHA MATOLA Afunguka SIMBA na YANGA Kukutana TENA - "LAZIMA Tuchukue UBINGWA" ILE derby ya Kariakoo kati ya Simba na Yanga, inatarajiwa kurudiwa tena visiwani Zanzibar kwenye fainali ya kombe la Mapinduzi, baada ya wote wawili kutinga fainali kwenye mchezo wa nusu fainali uliochezwa, Yanga akamtoa Azam FC, na Simba akamtoa Namungo FC.... Dakika 90 za mtanange huo zimemalizika kwa Simba kutinga fainali ya Kombe hilo baada ya kumtungua Namungo mabao ( 2 - 1) na hivyo anakwenda kukutana na Yanga SC kwenye fainali itakayochezwa Januari 13, 2021.. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline



SABABU za MORRISON Kutocheza SIMBA SC, Kocha MATOLA Afunguka - "TUMELIPA KISASI"
SABABU za MORRISON Kutocheza SIMBA SC, Kocha MATOLA Afunguka - "TUMELIPA KISASI"

SABABU za MORRISON Kutocheza SIMBA SC, Kocha MATOLA Afunguka - "TUMELIPA KISASI" Mtanange wa kukata na shoka wa kombe la Mapinduzi kati ya SIMBA SC vs MTIBWA SUGAR, umechezwa Januari 09, katika dimba la Amaani visiwani Zanzibar... Dakika 90 za mtanange huo zimemalizika kwa Simba kulipiza kisasi kwa kuwachapa Mtibwa mabao ( 2 - 0 ) yaliyowekwa kimiani na Hassan Dilunga pamoja na Miraji Athuman Sheva... ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline



KOCHA MATOLA Baada ya SIMBA Kuwafunga CHIPUKIZI, Afunguka - "MECHI na MTIBWA Itakuwa NGUMU"
KOCHA MATOLA Baada ya SIMBA Kuwafunga CHIPUKIZI, Afunguka - "MECHI na MTIBWA Itakuwa NGUMU"

KOCHA MATOLA Baada ya SIMBA Kuwafunga CHIPUKIZI, Afunguka - "MECHI na MTIBWA Itakuwa NGUMU" Baada ya kufuzu hatua ya makundi ya ligi ya mabingwa Afrika, Timu ya SIMBA SC imeshuka dimbani leo Januari 08, kuvaana na timu ya CHIPUKIZI katika kombe la Mapinduzi lililochezwa kwenye dimba la Amaani visiwani Zanzibar.. Dakika 90 za mtanange huo zimemalizika kwa Simba kuondoka na alama tatu baada ya Chipukizi kuruhusu kichapo cha mabao ( 3 - 1)... ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline




« Previous Next »


Popular Tags

#Paul Pogba  #Mesut Ozil  #Kawhi Leonard  #Lionel Messi  #Best Football Defending Skills  #Philadelphia 76ers  #Ronaldinho  #Shaquille O'Neal  #Football Defensive Skills  #Luis Suarez  

Popular Users

#ochocinco  #TheNotoriousMMA  #elonmusk  #KylieJenner  #KingJames  #fauxpelini  #AdamSchefter  #instagram  #ddlovato  #Cristiano  #KDTrey5  #realmadrid  #MieshaTate  #TheChristinaKim