KOCHA MBAO FC "HATUJAWAPA SIMBA HELA/ Mashabiki Wanatukana"
KOCHA MBAO FC "HATUJAWAPA SIMBA HELA/ Mashabiki Wanatukana"

KOCHA MBAO FC "HATUJAWAPA SIMBA HELA/ Mashabiki Wanatukana" SIMBA leo imebanwa mbavu mbele ya Klabu ya Mbao FC kwa kukubali kichapo cha mabao 3-2 kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Taifa, leo Julai 16. Mbao ilianza kuibuka kwenye lango la Simba dakika ya 5 baada ya kipa namba tatu wa Simba, Ally Salim kutema mpira uliokutana na guu la Rajab Rashid dakika ya 5. Iliwabidi Simba wasubiri mpaka dakika ya 35 ambapo waliandika bao la kusawazisha kupitia kwa mshambuliaji wao namba moja Meddie Kagere kwa mkwaju wa penalti. Bao hilo halikudumu kwani Mbao iliongeza msumari wa pili dakika ya 45+2 kupitia kwa Wazir Jr na kuwafanya Simba waende mapumziko wakiwa nyuma kwa mabao 2-1 huku Mbao ndio wakiwa wataalamu wa mchezo. Kipindi cha pili kiungo mshambuliaji wa Simba Miraji Athuman aliweka usawa dakika ya 52 ila bao hilo lilidumu dakika saba wakatunguliwa Simba bao jingine tena dakika ya 59. Jordan John dk 59 alìwanyanyua mashabiki wa Mbao FC na kuwafanya wasepe na pointi tatu mbele ya Simba wakiwatungua mabao mengi kwa msimu huu ambayo ni matatu. Licha ya ushindi huo Mbao FC wanabaki nafasi yao waliyokuwa kabla ya kucheza na Simba ya 19 wakiwa wamecheza mechi 35 kibindoni wana pointi 38 wanapambana kujinasua na hatari ya kushuka daraja. Simba pia wanaongeza idadi ya michezo ya kufungwa na kufikia minne kwa sasa wakiwa pia wamecheza mechi 35 na pointi zao 81 wakiwa tayari ni mabingwa. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline



SIMBA SC 2-1 MTIBWA SUGAR, Simba Walivyotua Taifa Kibabe
SIMBA SC 2-1 MTIBWA SUGAR, Simba Walivyotua Taifa Kibabe

Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars FULL TIME: SIMBA SC 2-1 MTIBWA SUGAR Dak ya 90+3, kadinya njano inakwenda kwa Salum Kanoni, dakika za jioni kabisa. Dakika zimeongezwa tatu kumaliza mpira, zimesalia mbili sasa. Dak ya 90, Jonas Mkude anaingia kuchukua nafasi ya Shiboub Dak ya 81, Imepigwa faulo ile kwake Kahata inamkuta na anajaribu kumalizia lakini mpira unamzidi kasi, golikiki. Dak ya 81, Mtibwa wanacheza faulo, inapigwa kuelekezwa langoni kwao, nafasi ya Simba kupata bao la tatu. Dak ya 79, Kahata anaingia kuchukua nafasi ya Chama. Dak ya 77, Kona nyingine kwa Simba, ni baada ya Kapombe kubabatizana na Kapombe. Inapigwa lakini inakuwa golikiki. Dak ya 74, Simba wanaanza tena upya, Yassin kwake Athuman, piga kwake Kado anadaka mpira. Dak 68, Mirajiiiiii, anaifungia Simba bao la pili kwa shuti kali akitoka kupokea pasi nzuri kutoka kwa Shiboub Dak ya 67, Mtibwa wanaonesha jitihada za kulinda zaidi eneo lao na wakifanya mashambulizi ya kushtukiza kwa Simba. Dak ya 63, Simba wamefanya shambulizi la kutisha langoni mwa Mtibwa lakini mawasiliano yamekuwa si mazuri na Mtibwa wanaokoa. Dak ya 62, Miraji Athuman anaingia kuchukua nafasi ya Hassan Dilunga. Dak ya 60, Simba wameanza tena, Chama anachukua, anampasia Nyoni, wanajribu kupenya ngome ya Mtibwa, kwake Kagere lakini Mtibwa wanawadhibiti. Dak ya 57, Tayari Kado ameshasimama na mpira umeshaanza, Simba wanaanza kwa kupasiana vema langoni mwa Mtibwa, unamkuta kwake Chama, anapiga shuti ambalo linapaa nje ya lango. Dak ya 55, Mpira umesimama, Kado ameumia, Kahata naye anaonekana kama anataka kuchukua nafasi ya mtu. Dak ya 52, Kado anaokoa nafasi nyingine kutoka kwa Yassin aliyepata nafasi ya kufunga, kama angekuwa dhaifu angeshafungwa zaidi ya bao mbili. Dak ya 52, Kagere anaotea, anaonekana kulalamika kwa kuonesha ana njaa ya kufunga. Dak ya 49, Aishi Manula anaanzisha upya mashambulizi, ni kipindi cha pili sasa. MAPUMZIKO: SIMBA SC 1-1 MTIBWA SUGAR Dak ya 47, Chama amepiga lakini inakwenda nje. Dak ya 46, Humud anapewa kadi ya njano baada ya kucheza madhambi, ni ya kwanza ndani ya dakika 45 za kwanza, ni faulo. Dak ya 44, Fraga anababatizana na mchezaji wa Mtibwa, mpira unakwena nje, unarushwa kuelekea Mtibwa. Dak ya 42, Tayari Shiboub alishaamka, na zikiwa zimesalia dakika mbili mpira kwenda mapumziko. Dak ya 41, Shiboub anafanyiwa madhambi, na mpira umesimama kwa muda. Dak ya 38, Kanoni anatolewa nje na machela baada ya kuumia, matokeo bado ni 1-1. Dak ya 37, Chamaaaaa, pata nafasi moja maridadi kabisa lakini shuti lake linakwenda moja kwa moja kwa Kado kwa kulidaka. Dak ya 33, Inapigwa lakini inakwenda moja kwa moja kwa Manula ambaye anapangua na kuuelekeza eneo la kati mwa uwanja. Dak ya 32, Mtibwa wanapata faulo, anakwenda kupiga Salum Kanoni, piga mkwaju mkali unapanguliwa na Manula, inakuwa kona. Dak ya 31, Mtibwa wanajichanganya eneo lao la ulinzi, Simba wanaudaka kwake Kagere, bahati si yake. Kipa anadaka. Dak ya 30, ni kona nyingine inapigwa kuelekezwa Mtibwa, anapiga Chama, piga kule lakini inababatizwa na wachezaji wa Simba, golikiki. Dak ya 28, Mpira umesimama kwa muda, mchezaji wa Mtibwa ameumia. Dak ya 27, Offside kwa, mpira unachezwa na Mtibwa. Dak ya 25, Kapombe anapasiana na Chama eneo la kati mwa Uwanja, maelewano yanakuwa si mazuri, na mpira unakuwa golikiki, unaelekezwa Simba. Dak ya 24, Mpira unarushwa kuelekea lango la Mtibwa, ni karibu na eneo la kona, umesharushwa na unatolewa tena. Dak ya 21, Rifat Hamis anaisawazishia Mtibw aSugar kwa mpira wa kichwa ulitokana na kona, ni 1-1. Dak ya 17, Goooli, Meddie Kagere anafunga bao la kwanza baada ya Simba kupasiana vema katika eneo la hatari, sasa ni 1-0. Dak ya 10, Golikiki imetokea upande wa Simba, wanaanza upya kwake Manula. Dak ya 9, Simba wanapata kona ya kwanza,wanapiga lakini inatolewa nje na Mtibwa, wanaenda kurusha, Chama anarusha. Dak ya 7, Simba wanatandaza pasi nzuri kuelekea Mtibwa, kwake Shomari Kapombe, anapiga krosi ambayo inashindwa kuzaa matunda. Dak ya 6, Kado anaokoa mpira uliopigwa na Chama akiwa peke yake, ni nafasi ambayo Simba wamngeshaandika bao. Dak ya 6, Bado Simba wanaonekana kuutawala mchezo zaidi ya Mtibwa kwa dakika hizi sita za mwanzo. Dak ya 4, Simba wanaanza faulo kwa kupasiana, anapiga Nyonii, inaokolewa na mabeki wa Mtibwa. Dak ya 3, Zimbwe Jr anakokotoa mpira na guu la kushoto kushoto mwa uwanja, mchezaji Awadhi Salum wa Mtibwa anashikana mkono, faulo. Dak ya 3, Manula anadaka mpira, anaanzisha mashambulizi upya. Dak ya 2, Rifat Hamis wa Mtibwa anapandisha mashambulizi kwenda Simba, ni la kwanza. Dak ya 1, mechi imeshaanza Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam, na Simba wameanza kwa kushambulia kwa kasi lango la Mtibwa. Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars



CHEKI Walichokifanya Mashabiki Hawa wa SIMBA Wawasubiri SEVILLA
CHEKI Walichokifanya Mashabiki Hawa wa SIMBA Wawasubiri SEVILLA

CHEKI Walichokifanya Mashabiki Hawa wa SIMBA Wawasubiri SEVILLA MABINGWA watetezi Simba leo wamebeba pointi tatu mbele ya Ndanda FC na kuanza kunukia ubingwa wa ligi msimu huu kwa ushindi wa mabao 2-0 kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa uwanja wa Uhuru. Meddie Kagere kipindi cha kwanza amepachika mabao yote mawili ambapo bao la kwanza amefunga dakika ya tatu akimalizia pasi ya John Bocco na bao lake la pili alifunga dakika ya 11 akimalizia pasi ya Clatous Chama. Ushindi huo umewapa nafasi Simba kujikita kileleni wakiwa na jumla ya pointi 88 na wamebakiwa na michezo mitatu ili kukamilisha mzunguko wa pili. Kwa nafasi ambayo kwa sasa Simba wamefikia wanahitaji pointi mbili ili kujihakikishia kutetea ubingwa wao msimu huu. Simba wamepiga jumla ya mashuti 10 ambayo hayakulenga lango huku Ndanda wakipiga jumla ya mashuti sita ambayo hayakulenga lango. Mchezo wao unaofuata ni dhidi ya Singida United utakaochezwa uwanja wa #SIMBAVsNDANDA #PATRICKAUSSEMS Https://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho



KOCHA NDANDA Akana Kumtaja Mwamuzi Baada ya Matokeo
KOCHA NDANDA Akana Kumtaja Mwamuzi Baada ya Matokeo

KOCHA NDANDA Akana Kumtaja Mwamuzi Baada ya Matokeo MABINGWA watetezi Simba leo wamebeba pointi tatu mbele ya Ndanda FC na kuanza kunukia ubingwa wa ligi msimu huu kwa ushindi wa mabao 2-0 kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa uwanja wa Uhuru. Meddie Kagere kipindi cha kwanza amepachika mabao yote mawili ambapo bao la kwanza amefunga dakika ya tatu akimalizia pasi ya John Bocco na bao lake la pili alifunga dakika ya 11 akimalizia pasi ya Clatous Chama. Ushindi huo umewapa nafasi Simba kujikita kileleni wakiwa na jumla ya pointi 88 na wamebakiwa na michezo mitatu ili kukamilisha mzunguko wa pili. Kwa nafasi ambayo kwa sasa Simba wamefikia wanahitaji pointi mbili ili kujihakikishia kutetea ubingwa wao msimu huu. Simba wamepiga jumla ya mashuti 10 ambayo hayakulenga lango huku Ndanda wakipiga jumla ya mashuti sita ambayo hayakulenga lango. Mchezo wao unaofuata ni dhidi ya Singida United utakaochezwa uwanja wa #SIMBAVsNDANDA Https://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho



OKWI, KAGERE Wakutana na Wababe Wao Washindwa Kutoka Mbele ya KAGERA
OKWI, KAGERE Wakutana na Wababe Wao Washindwa Kutoka Mbele ya KAGERA

KIKOSI cha Maangamizi cha SIMBA VS KAGERA SUGAR Dakika 90 zimemalizika katika Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam kwa Simba kuendelea kuwa kibonde wa Kagera Sugar baada ya kukubali kichapo cha bao 1-0. Bao pekee la mchezo huo limepatikana mnamo dakika ya 42 kipindi cha kwanza kwa Mohammed Hussein kujifunga ikiwa ni baada ya kukosa mawasiliano mazuri baina yake na kipa Aishi Manula kufuatia mpira uliopigwa na mchezaji wa Kagera. Licha ya kutawala sehemu kubwa ya mchezo, Kagera Sugar walionekana kulinda kwa umakini zaidi lango haswa baada ya kupata bao la kuongoza na kuwafanya Simba kushindwa kucheka na nyavu zao. Kunako kipindi cha pili cha mchezo, Kocha wa Simba Patrick Aussems aliwafanyia mabadiliko wachezaji Hassan Dilunga aliyemtoa na nafasi yake kuchukuliwa na Rashid Juma huku James Kotei naye akitolewa na Jonas Mkude akichukua nafasi yake. Mabadiliko hayaikuisaidia chochote Simba ambapo mpaka dakika 90 zinamalizika matokeo yalisalia kuwa 1-0. Kuendelea kupoteza kwa Simba dhidi ya Kagera kunawafanya wazidi kusalia nafasi ya kwanza wakiwa na alama zao 81 kwenye nafasi ya kwanza katika msimamo wa ligi huku Kagera wakijiongezea alama tatu muhimu wakifikisha alama 43. #SIMBASC https://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho



Kikosi Cha Simba Kilivyotua Kukipiga na JKT Uwanja wa Uhuru
Kikosi Cha Simba Kilivyotua Kukipiga na JKT Uwanja wa Uhuru

Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars MCHEZO unaoendelea kwa sasa Uwanja wa Uhuru ni kati ya wenyeji Simba wakimenyana na JKT Tanzania. Kwa sasa ni kipindi cha pili na hakuna mbabe ambaye ameona lango la mpinzani wake kwa sasa. JKT Tanzania wanafanya mashambulizi kwa kushtukiza kuliandama lango la Deogratius Munish. Mashabiki waliojitokeza hapa Uhuru sio wengi sana kutokana na leo kuwa siku ya kazi. Nahodha wa Simba John Bocco alitolewa kipindi cha kwanza nafasi yake imechukuliwa na kiungo Hasan Dilunga Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/kidanistars



FT: KAGERA SUGAR 2-1 SIMBA, KAITABA-BUKOBA
FT: KAGERA SUGAR 2-1 SIMBA, KAITABA-BUKOBA

Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars FT: Kagera Sugar 2-1 Simba Uwanja: Kaitaba Gooooal  Emmanuel Okwi dk ya 63  Kipindi cha pili kimeanza, Zimeongezwa dakika 5 Goooooal: Kassim Khamis Goooooal: Ramadhan Kapera Zinaongezwa dakika nne Hasan Dilunga njano dk ya 67 Okwi dk ya 64 njano Said Kipao wa Kagra Sugar anaonyeshwa kadi ya njano dk ya 69, Kassim njano dk ya 73. KASSIM Khamis anawanyanyua mashabiki wa Kagera Sugar dakika ya 20 kwa kuitanguliza timu yake kuongoza mbele ya Simba akimalizia pasi ya Ramadhan Kapera. Dakika ya 40 Kagera Sugar wanapachika bao la pili kupitia kwa Ramadhan Kapera. Kagera Sugar iliyo chini ya kocha Mecky Maxime imeanza kwa kasi kushambulia lango la Aish Manula na kupata kile ambacho ilikuwa inahitai kwa sasa.  Emmanuel Okwi anaandika bao la kwanza kwa Simba dakika ya 63 akimalizia pasi ya Chama. Mashabiki waliojitokeza ni wengi kuona namna ushindani ulivyo huku mashambulizi kwa timu zote yakiwa ni makali. Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/kidanistars



AZAM FC 1-1 ALLIANCE FC: HIGHLIGHTS & INTERVIEWS (TPL - 6/2/2019)
AZAM FC 1-1 ALLIANCE FC: HIGHLIGHTS & INTERVIEWS (TPL - 6/2/2019)

Azam FC, imelazimishwa sare ya bao 1-1 dhidi ya Alliance katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL) uliofanyika Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam. Ilibidi Azam FC iweze kusubiri hadi dakika ya 79 kuweza kupata bao la uongozi, lililofungwa na Joseph Mahundi, aliyeingia dakika ya 76, kuchukua nafasi ya Ramadhan Singano, na alifunga bao hilo kiustadi akiunganisha krosi ya Chirwa. Dakika ya 90 Alliance ilisawazisha kupitia kwa Dickson Ambundo, akimalizia mpira uliogonga mwamba kufuatia mpira wa adhabu ndogo uliopigwa na Israel Patrick. Azam walionekana kulalamikia bao hilo wakidai kuwa beki wao Agrey Moris alisukumwa kabla ya kufungwa lakini, mwamuzi Abubakar Mturo (Mtwara) na Msaidizi namba moja, Mohamed Mkono (Tanga), waliamuru kuwa bao halali. Mchezo huo ulikuwa na kasi sana, Azam FC ikianza kwa mashambulizi makali langoni mwa Alliance, ambapo dakika ya kwanza Obrey Chirwa, alikosa bao la wazi baada ya kuupiga vibaya mpira akiwa anatazamana na lango ndani ya eneo la hatari, akipokea pasi ya Donald Ngoma. Mabingwa hao waliweza kupata ugumu kuipenya safu ya ulinzi ya Alliance, kutokana na timu hiyo kusimama wengi kujilinda nyuma ya mpira wakati Azam FC ikishambulia. Mara baada ya mchezo huo kumalizika, kipa wa Azam FC, Razak Abalora, alioneshwa kadi nyekundu kufuatia kadi ya pili ya njano iliyosababishwa na lugha ya kutoridhishwa na maamuzi aliyoitoa kwa mwamuzi huyo. Sare hiyo inaifanya Azam FC kufikisha jumla ya pointi 48 katika nafasi ya pili kwenye msimamo ikiwa na mchezo mmoja mkononi, ikizidiwa pointi saba na kinara Yanga aliyefikisha 55 kufuatia suluhu yake ya jana dhidi ya Singida United.




« Previous Next »


Popular Tags

#Best Goals  #Best Football Defending Skills  #Counter Attack Goals Football  #Football Skills  #Goalkeeper Saves  #Kawhi Leonard  #Allen Iverson  #Thomas Muller  #Lionel Messi  #Mesut Ozil  

Popular Users

#kevinlove  #NiallOfficial  #BarackObama  #DanicaPatrick  #fauxpelini  #taylorswift13  #rolopez42  #shakira  #instagram  #nyt4thdownbot  #BrunoMars  #Joey7Barton  #JayBilas  #BadgerMBB  #JohnCena