KIKOSI cha Maangamizi cha SIMBA VS KAGERA SUGAR Dakika 90 zimemalizika katika Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam kwa Simba kuendelea kuwa kibonde wa Kagera Sugar baada ya kukubali kichapo cha bao 1-0. Bao pekee la mchezo huo limepatikana mnamo dakika ya 42 kipindi cha kwanza kwa Mohammed Hussein kujifunga ikiwa ni baada ya kukosa mawasiliano mazuri baina yake na kipa Aishi Manula kufuatia mpira uliopigwa na mchezaji wa Kagera. Licha ya kutawala sehemu kubwa ya mchezo, Kagera Sugar walionekana kulinda kwa umakini zaidi lango haswa baada ya kupata bao la kuongoza na kuwafanya Simba kushindwa kucheka na nyavu zao. Kunako kipindi cha pili cha mchezo, Kocha wa Simba Patrick Aussems aliwafanyia mabadiliko wachezaji Hassan Dilunga aliyemtoa na nafasi yake kuchukuliwa na Rashid Juma huku James Kotei naye akitolewa na Jonas Mkude akichukua nafasi yake. Mabadiliko hayaikuisaidia chochote Simba ambapo mpaka dakika 90 zinamalizika matokeo yalisalia kuwa 1-0. Kuendelea kupoteza kwa Simba dhidi ya Kagera kunawafanya wazidi kusalia nafasi ya kwanza wakiwa na alama zao 81 kwenye nafasi ya kwanza katika msimamo wa ligi huku Kagera wakijiongezea alama tatu muhimu wakifikisha alama 43. #SIMBASC https://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho
YANGA WALIVYOFURAHIA TUZO YA GOLI BORA LA MZIZE👏 #breaking #globaltv #yanga #cafawards
⚽ VIDEO: YANGA TSHABALALA WANAYE NA WANATAMBA NAYE💛🔥💚 #globaltv #breaking #simba #yanga #shortvideo
"USAJILI wa SIMBA UTATIKISA NCHI" - AHMED ALLY AIBUKA KUTOKA MAFICHONI -ATOA za NDANI za WACHEZAJI 2... ============================================================ ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136) ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vD-h-a328gR3qltQXYWVQiO ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx
MAZISHI ya JOTA YAACHA SIMANZI KWAO - RONALDO AACHA MASWALI KUSHINDWA KUFIKA MAZIKONI... Mazishi ya mshambuliaji wa Liverpool, Diogo Jota, yamefanyika leo katika mji wake wa kuzaliwa wa Gondomar, nchini Ureno, ambapo mamia ya waombolezaji, wakiwemo familia na marafiki wa karibu, walikusanyika kumuaga pamoja na kaka yake, André Silva, waliofariki katika ajali mbaya ya gari siku ya Alhamisi, Julai 3, 2025. Mke wa Jota, Rute Cardoso, mwenye umri wa miaka 28, alionekana akitokwa na machozi huku akitembea taratibu nyuma ya jeneza la mumewe, akiwa amevaa mavazi meupe na kushikilia waridi la rangi ya krimu. Jota ameacha watoto watatu — wavulana wawili na binti mmoja. Baadhi ya waombolezaji walionekana wakisaidiwa na wenzao kutokana na mshtuko na majonzi makubwa yaliyowakumba. Majeneza ya Diogo Jota na kaka yake André yalipelekwa kwa huzuni kubwa hadi ndani ya kanisa lililoko Gondomar. Ni watu wa familia na marafiki wa karibu pekee walioruhusiwa kuingia ndani ya kanisa hilo, lakini misa ya mazishi ilipeperushwa moja kwa moja kupitia spika kwa maelfu ya waombolezaji waliokuwa wamejipanga nje kuonyesha heshima zao za mwisho. ============================================================ ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136) ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vD-h-a328gR3qltQXYWVQiO ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx
🔴#Live: PAREDI ya YANGA YAFUNGA BARABARA DAR - BASI LENYE WACHEZAJI LINASINDIKIZWA na MASHABIKI.... SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 https://bit.ly/3MraYdQ ============================================================ ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136) ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vD-h-a328gR3qltQXYWVQiO ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx
MNANDI wa SIMBA - ''GOMENI MOJA KWA MOJA - MMELETA TIMU ya NINI? MBONA PRESS MLIGOMEA''... ============================================================ ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136) ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vD-h-a328gR3qltQXYWVQiO ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx
🦁SIMBA WATANGAZA KUMALIZIA HASIRA KWA YANGA TAREHE 15🦁💛🤣 #globaltv #simbasc #yanga #trending #live
JERRY MURO: SHERIA ZINASEMA BERKANE NI WASHINDI- KUTOKA MIOYONI MWETU TUNASEMA SIMBA NDIYE MSHINDI.. ============================================================ ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136) ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vD-h-a328gR3qltQXYWVQiO ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx