Mtibwa walipovunja mwiko wa Azam FC kufungwa baada ya michezo saba VPL
Mtibwa walipovunja mwiko wa Azam FC kufungwa baada ya michezo saba VPL

Azam FC wamekutana na mshangao baada ya kupigwa bao 1-0 na Mtibwa Sugar kwenye Uwanja wa Jamhuri, Morogoro. Goli pekee kwenye mchezo huo limefungwa na Jaffary Kibaya dakika ya 62. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

Highlights | Mtibwa Sugar 1-0 Namungo FC  - VPL 19/10/2020
Highlights | Mtibwa Sugar 1-0 Namungo FC - VPL 19/10/2020

Penati ya Salum Kihimbwa imewapa Mtibwa Sugar bao pekee la ushindi kwenye mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara dhidi ya Namungo FC uliopigwa kwenye Dimba la Jamhuri, Morogoro. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

Penati ya iliyozaa bao |  Mtibwa Sugar 1-0 Namungo - VPL 19/10/2020

Pira Biriani la Ngamia: Tazama Simba walipoamua kugonga pasi sambusa na kuwavuruga JKT TZ
Pira Biriani la Ngamia: Tazama Simba walipoamua kugonga pasi sambusa na kuwavuruga JKT TZ

JKT TANZANIA 0-4 SIMBA: Pasi za Simba wakigonga mojamoja kwa zaidi ya dakika 2:30 katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliochezwa kwenye Uwanja wa Jamhuri Dodoma, leo Oktoba 4, 2020. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

Simba yaunguruma Dodoma, yaipiga 4-0 JKT Tanzania; Tazama highlights - VPL 04/10/2020
Simba yaunguruma Dodoma, yaipiga 4-0 JKT Tanzania; Tazama highlights - VPL 04/10/2020

Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba SC, wameishushia kipigo cha mabao 4-0 timu ya JKT Tanzania, mchezo ukipigwa kwenye Dimba la Jamhuri Dodoma. Medie Kagere amefunga magoli mawili huku mengine yakifungwa na Chris Mugalu na Luis Miquissone. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

LIVE - JKT TZ 0-4 SIMBA -  UCHAMBUZI BAADA YA MECHI - VPL 04/10/2020
LIVE - JKT TZ 0-4 SIMBA - UCHAMBUZI BAADA YA MECHI - VPL 04/10/2020

Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba SC, wameishushia kipigo cha mabao 4-0 timu ya JKT Tanzania, mchezo ukipigwa kwenye Dimba la Jamhuri Dodoma. Fuatilia uchambuzi wa kina baada ya mchezo huo, studio ukiwa na Ally Mayay na Gift Macha chini Hasheem Ibwe. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

« Previous Next »

Popular Tags

#Derrick Rose  #Best Champions League  #Franck Ribery  #Kyrie Irving  #Chris Paul  #Philadelphia 76ers  #Zlatan Ibrahimovi  #LeBron James  #Paul Pogba  #Best Goals  

Popular Users

#LAKings  #dougferguson405  #jtimberlake  #WWE  #JayBilas  #nytimes  #ArianFoster  #b_ryan9  #tigerwoods  #NiallOfficial  #blakegriffin23  #espn  #TimTebow  #GNev2  #darrenrovell