Mabingwa watetezi Simba SC leo wamelazimishwa sare ya bao 1-1 na Mtibwa Sugar kwenye Uwanja wa Jamhuri, Morogoro. Fuatilia uchambuzi wa mchezo huo kutoka kwa Ally Mayay na Dominick Salamba. Matokeo ya mechi nyingine za leo ni:- JKT Tanzania 0-2 Dodoma Jiji FC KMC FC 2-1 Tanzania Prisons Mtimbwa Sugar 1-1 Simba SC Mambo yote LIVE #AzamSportsHD & #AzamSports2 Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz