Content removal request!


LIVE - JKT TZ 0-4 SIMBA - UCHAMBUZI BAADA YA MECHI - VPL 04/10/2020

Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba SC, wameishushia kipigo cha mabao 4-0 timu ya JKT Tanzania, mchezo ukipigwa kwenye Dimba la Jamhuri Dodoma. Fuatilia uchambuzi wa kina baada ya mchezo huo, studio ukiwa na Ally Mayay na Gift Macha chini Hasheem Ibwe. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz