Content removal request!


Mtibwa walipovunja mwiko wa Azam FC kufungwa baada ya michezo saba VPL

Azam FC wamekutana na mshangao baada ya kupigwa bao 1-0 na Mtibwa Sugar kwenye Uwanja wa Jamhuri, Morogoro. Goli pekee kwenye mchezo huo limefungwa na Jaffary Kibaya dakika ya 62. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz