Kibu Denis ameifungia Mbeya City goli pekee la ushindi wa 1-0 dhidi ya Gwambina FC katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliopigwa kwenye Dimba la Sokoine, Mbeya. Kibu amefunga goli hilo kwa mkwaju wa penati huku Gwambina nao wakipoteza penati yao kupitia kwa Rajab Athuman. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
#PB #CLOUDSFM #HILIGAME LIVE: HILI GAME YA CLOUDS FM | SIMBA AZAM KUKIWASHA SONGEA #ASF | YANGA GWAMBINA KUKIPIGA SONGEA
#Gwambina#DodomaJiJi#LigiKuuTanzania MAGOLI YOTE YA GWAMBINA VS DODOMA JIJI ( 2 - 0 )
Gwambina FC imeanza kufufua matumaini ya kusalia ligi kuu baada ya kupata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Dodoma Jiji FC, mchezo ukipigwa kwenye Uwanja wa Gwambina Complex, wilayani Misungwi mkoani Mwanza. Magoli ya Gwambina yamefungwa na Paul Nonga pamoja na Gustapha Saimon. Yatazame hapa. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
AZAM 4-1 GWAMBINA: Mpiana Monzinzi Platini amefunga goli lake la kwanza tangu ajiunge na Azam FC mwezi Desemba mwaka 2020 katika ushindi wa magoli 4-1 dhidi ya Gwambina FC. Monzinzi ameanza kwa kishindo akifunga magoli mawili, huku mengine mawili yakifungwa na Idd Seleman Nado katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliochezwa kwenye Dimba la Azam Complex, Chamazi. Goli pekee la Gwambina limefungwa na Baraka Mtuwi. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz