Content removal request!


Highlights: Monzinzi, Nado walivyoiongoza Azam kuikaanga Gwambina 4-1 Chamazi - VPL 18/06/2021

AZAM 4-1 GWAMBINA: Mpiana Monzinzi Platini amefunga goli lake la kwanza tangu ajiunge na Azam FC mwezi Desemba mwaka 2020 katika ushindi wa magoli 4-1 dhidi ya Gwambina FC. Monzinzi ameanza kwa kishindo akifunga magoli mawili, huku mengine mawili yakifungwa na Idd Seleman Nado katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliochezwa kwenye Dimba la Azam Complex, Chamazi. Goli pekee la Gwambina limefungwa na Baraka Mtuwi. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz