Telegram: https://t.me/KidanistarsTV WENYEJI, Biashara United wamelazimisha sare ya kufungana bao 1-1 na vigogo, Yanga SC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza. Yanga walitangulia na bao la mshambuliaji wake Mkongo, Fiston Kalala Mayele dakika ya 75, kabla ya Collins Opare kuisawazishia Biashara United dakika ya 78. Mayele anafikisha mabao 14 na kumfikia mshambuliaji wa Geita Gold, George Mpole katika kinyangβanyiro cha ufungaji Bora. Yanga inafikisha pointi 64 katika mchezo wa 26 na kuendelea kuongoza ligi kwa pointi 13 zaidi ya mabingwa watetezi, Simba SC ambao hata hivyo wana mechi moja mkononi. Biashara United wenyewe wanafikisha pointi 24 katika mchezo wa 25 na kupanda nafasi ya 14 kwenye ligi ya timu 16, wakiizidi wastani wa mabao tu Tanzania Prisons. Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Je,wewe unatumia Telegram? Kama ni ndio karibu kwenye Channel yetu ya Kidanistars Telegram. BONYEZA Link hii https://t.me/KidanistarsTV
theclubaboveall #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko.
Ni sare ya bao 1-1 kati ya Yanga na Biashara United, mchezo wa ligi kuu ya NBC Tanzania Bara uliopigwa kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza. Yanga wametangulia kwa bao la Fiston Mayele dakika ya 75, lakini Collins Opare akaisawazishia Biashara United dakika tatu baadaye (dakika ya 78). Haya hapa magoli pamoja na mtetemo wa aina yake kutoka kwa shabiki jukwaani akiungana na Fiston Mayele.
TUNAKUPA HABARI ZA UHAKIKA KUTOKA VYANZO VYA KUAMINIKA ...
Abdul Hamis Suleiman Sopu ameifungia Coastal Union bao pekee na la ushindi dhidi Biashara United, katika mechi ya ligi kuu ya NBC Tanzania Bara iliyochezwa leo kwenye Uwanja wa Mkwakwani, Jijini Tanga.
Biashara United imepata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Tanzania Prisons katika mchezo wa ligi kuu ya NBC uliochezwa leo kwenye uwanja wa CCM Kirumba, jijini Mwanza. Magoli yote mawili ya Biashara United yamefungwa na Deogratius Judika Mafie dakika ya 26 na 34 huku Prisons wakijipatia bao lao kupitia kwa Ezekiah Mwashilindi
Leo March 07/2022 Ligi Kuu ya NBC Inaendelea πKatika Dimba la Benjamin Mkapa Dar es Salaam π₯π₯ni Vita ya Mabingwa watetezi Simba Sc dhidi ya Wakulima wa Zabibu Dodoma Jiji. Itakuwaje leo Chama, Sakho Kufanya kama walivyofanya Dhidi ya Biashara United???. Tusubiri Kipute Dakika 90 Kuamua mechiβ¦. Mpenja Tv tupo hapa Benjamin Mkapa Kukuletea kila nukta ya jambo litakalojitokeza kwenye mchezo huu.... Baki na sisi, Asante kwa Kutuchagua Mpenja Tv #SimbaScVsDodomaJiji #DodomaJiji #SimbaSc #MpenjaTv