Coastal Union 1-0 Biashara United | Highlights | NBC Premier League 11/05/2022
Abdul Hamis Suleiman Sopu ameifungia Coastal Union bao pekee na la ushindi dhidi Biashara United, katika mechi ya ligi kuu ya NBC Tanzania Bara iliyochezwa leo kwenye Uwanja wa Mkwakwani, Jijini Tanga.