Leo March 07/2022 Ligi Kuu ya NBC Inaendelea 🏟Katika Dimba la Benjamin Mkapa Dar es Salaam 🔥🔥ni Vita ya Mabingwa watetezi Simba Sc dhidi ya Wakulima wa Zabibu Dodoma Jiji. Itakuwaje leo Chama, Sakho Kufanya kama walivyofanya Dhidi ya Biashara United???. Tusubiri Kipute Dakika 90 Kuamua mechi…. Mpenja Tv tupo hapa Benjamin Mkapa Kukuletea kila nukta ya jambo litakalojitokeza kwenye mchezo huu.... Baki na sisi, Asante kwa Kutuchagua Mpenja Tv #SimbaScVsDodomaJiji #DodomaJiji #SimbaSc #MpenjaTv