ALLY KAMWE “MAYELE NI BENZEMA MTUPU”/ KUMBE MBEYA CITY WEPESI HIVI/TUMEWALIPIA KISASI SIMBA
ALLY KAMWE “MAYELE NI BENZEMA MTUPU”/ KUMBE MBEYA CITY WEPESI HIVI/TUMEWALIPIA KISASI SIMBA

Hii ni baada ya kutamatika kwa mchezo wa ligi kuu kati ya Yanga Sc na Mbeya City katika uwanja wa Benjamin Mkapa,Yanga wao wakifanikiwa kuondoka na ushindi wa goli 2-0 magoli yote yakifungwa na Fiston Mayele ambae mpaka sasa ana jumla ya goli 10. Haya hapa ni mahojiano na Meneja wa Habari na Mawasiliano Yanga pamoja na mashabiki baada ya mchezo kuisha. Kujua mengi zaidi tazama video hii kufahamu…

GHARIB MZINGA: "LOMALISA ANAJUA BOLI/YULE FEISAL ANAPIGA PASI/MAYELE NI 'BENZEMA MTUPU"
GHARIB MZINGA: "LOMALISA ANAJUA BOLI/YULE FEISAL ANAPIGA PASI/MAYELE NI 'BENZEMA MTUPU"

Leo Tarehe 17/11/2022 Wananchi Yanga Sc wanarejea tena Dimba la Benjamin Mkapa kumenyana na Singida Big Stars kwenye Mchezo wa ligi kuu ya NBC, Utakaochezwa Saa Moja jioni... NB: Mpenja Tv tutakuwepo mapema kabisa katika Dimba la Benjamin Mkapa kukuletea Matukio yote yatakayojiri kabla na baada ya mchezo huo, Kaa karibu nasi....

KUFURU ya Mapokezi YANGA watrend airport Mashabiki wajitokeza kuisaport Timu
KUFURU ya Mapokezi YANGA watrend airport Mashabiki wajitokeza kuisaport Timu

Tafadhali Subscribe Shutikali Tv ili kuwa wa kwanza kupata taarifa mbalimbali za Michezo #sokatanzania #simba #yanga #azam #mpira #football #tanzania #chama #feitoto# #mayele#azizki#mosesPhiri#mashabikisimbayanga#ahmedyally#allykamwe#

BRAVOO! BARAKA MPENJA ASTAAJABU KIWANGO CHA AZIZ KI/AUKUBALI MUZIKI WA YANGA/BOLI INA SURPRISE/WOOW!
BRAVOO! BARAKA MPENJA ASTAAJABU KIWANGO CHA AZIZ KI/AUKUBALI MUZIKI WA YANGA/BOLI INA SURPRISE/WOOW!

Mtangazaji wa mpira wa miguu nchini kupitia Azam Tv Baraka Adson Mpenja ameunguruma baada ya Yanga kutinga makundi ya Shirikisho Barani Afrika na kutaja Yale yaliyomfurahisha. Tazama video hii kujua mengi zaidi aliyozungumza

BARAKA MPENJA GOLI LA AZIZ KI AMEMPIGIA MANULA GIZANI/ HAYATI MAGUFULI NA GOLI LA BERNARD MORRISON..
BARAKA MPENJA GOLI LA AZIZ KI AMEMPIGIA MANULA GIZANI/ HAYATI MAGUFULI NA GOLI LA BERNARD MORRISON..

Leo Tarehe 23/10/2022 ni siku ya kushuhudia mbungi ya kukata na Shoka inayowakutanisha Watani wa Jadi,Watoto wa kariakoo,Yanga Sc na Simba Sc,Kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Saa Kumi na Moja Jioni.

BARAKA MPENJA APAGAWA NA SIMBA YA MGUNDA/PARAPANDA LA MOSEA PHIRI LINGEMUUA KIPA WA DE AGOSTO.
BARAKA MPENJA APAGAWA NA SIMBA YA MGUNDA/PARAPANDA LA MOSEA PHIRI LINGEMUUA KIPA WA DE AGOSTO.

Leo Tarehe 16/10/2022 Simba Sc wanamkaribisha Premeiro de Agosto kutoka Angola kwenye Mchezo wa Mkondo wa Pili wa ligi ya Mabingwa Afrika,katika Dimba la Benjamin Mkapa, Saa Kumi Jioni.

« Previous Next »

Popular Tags

#Shaquille O'Neal  #Kawhi Leonard  #Paul Pogba  #Neymar  #Paul George  #Paul George  #Best Goalkeeper Saves  #LeBron James  #Mesut Ozil  #LeBron James  

Popular Users

#RealSkipBayless  #BellaTwins  #IAmJericho  #PMOIndia  #imVkohli  #themichaelowen  #dougferguson405  #realmadrid  #richarddeitsch  #JasonDufner  #si_vault  #DeionSanders  #jtimberlake