Feitoto apiga mbili, Azam FC ikiifumua Kagera Sugar 5-1 Chamazi (Magoli) - NBCPL 25/05/2024
Feitoto apiga mbili, Azam FC ikiifumua Kagera Sugar 5-1 Chamazi (Magoli) - NBCPL 25/05/2024

Feisal Salum amefunga magoli mawili Azam FC ikiibugiza Kagera Sugar mabao 5-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC iliyopigwa leo kwenye Dimba la Azam Complex, Chamazi..... Magoli mengine kwenye mchezo huu yametoka kwa Gibril Sillah dakika ya 50’, Kipre Jr dakika ya 65' na Iddy Nado dakika ya 90, huku Feisal akifunga yake dakika ya 72 na 79.



YANGA SC (3) - (0) TABORA UNITED  LIGI KUU TANZANIA
YANGA SC (3) - (0) TABORA UNITED LIGI KUU TANZANIA

Leo nyota wa kimataifa ya Congo @maxinzengeli amevaa medali ya kwanza ya Ubingwa baada ya kujiunga Yanga SC Msimu huu. Katika Mchezo wa kukabidhiwa Kombe leo pia kafanikiwa kutupia kambani na kuweka rekodi kila siku. Hii ni matunda ya juhudi na kipaji chake kikubwa nje ya Soka amekua hana mambo mengi. Takwimu zake kwa sasa zinasoma namna hii. Magoli 11. Pasi za magoli 2. Uwezo kwenye kutengeneza nafasi 🤩. Kuchezesha Timu 🤩. Kukaba kwa usahihi 🤩. Umakini na nidhamu 🤩. mchezo umeweza kumalizika kwa ushindi kwa Yanga sc mabao 3 kwa bila dhidi ya Tabora United ... 



#live UCHAMBUZI:FRIJI BOVU AMVULIA KOFIA AZIZ K,UBINGWA WATACHUKUA HATA MARA 10 YANGA,AZAM,SIMBA HOI
#live UCHAMBUZI:FRIJI BOVU AMVULIA KOFIA AZIZ K,UBINGWA WATACHUKUA HATA MARA 10 YANGA,AZAM,SIMBA HOI

USISAHAU KUTUFATILIA KILA SIKU #taifastars#yanga#simba #Dotomagari#hajimanara #tetesizausajilileo #yanga #simba #azamfc #yangasc #simbasc #simbasc #yanga #wananchi #aslay #bentvmedia #Chinowanaman#bentvmedia#interview #yangasc #yanga #caf #simbasc #usajilisimbaleo #simba #simbasc #usajilisimbaleo #caf #feisalsalum#yangasc#simba #yanga#simba#caf #simba #yanga #hajimanara #simba #yanga #hajimanara #tff #hajimanara #feisalsalum #yanga #simba #caf #simbasctanzania #wydad_casablanca #caf #simbasc #wydad_casablanca #mandonga #feisalsalum #yangasc #yanga#simbasc#caf #simbasc#raja#caf #yanga #simba #simbasctanzania#hajimanara#usajili #ireneuwoya#mayele #simba #yanga #kariakooderby #Uchambuziwaazamtv #cafclcc #Mashabikiwaalhilal #Hajimanara #Winnermedia #Kochanabi #Golilamayele #Klabuboraafrika #Top5media #klabubingwaafrika #Hajimanara #Enghersi #Yanga #Alhilal #mayele #Azamatv #Ibenge #Caf #cafconfiderationcup #Tff #Kikosichayanga #morrison #Yangatv #Yanga #Caf #Mayele #Tff #Hajimanara #Klabubingwaafrika #Yangasc #Kisinda #Enghersi #Yanga #Tff #Caf #Hajimanara #caf #Tff #enghersi #Yanga #Simba #Hajimanara #Josephatgwajimarudishatv #Simba #Yanga #Hajimanara #Wakristo #Simba #Yanga #Tundaman #Ahmedally #Yanga #Simbasc #Hajimanara #Jezimpyazasimba #Simba #Yanga #Tff #enghersi #Yangasc #Hajimanara #Enghersi #Yanga #Tff #Breakingnews #Diamondplatnumz #Harmonize #Msamaha #Azizki #Yanga #Richsports #Simbasc #Kagele #Mayele #Simba #Yanga #morrison #Mayele #Simbasc #yanga #Simbaleo #Yangaleo #Kikosichayanga #tetesizausajilileo #Azizik #Stephenazizk #Azizkikusajiliwasimba #Usajilisimbaleo #Usajiliyangasc #Dirishakubwalausajili #Kochampyawasimba #Tetesizausajilileo #YangaSc #mechiyasimbalive #mechiyayangalive #ccmkirumba #Mwanza #Yangaleo #Geitagoldleo #Wasafitv #Msimamowaligikuunbc #gsm #caf #wasafifm #wasafimedia #Cafconfiderationcup #Usajilisimbasc #Usajiliyangasc #Usajili #Dirishakubwalausajili #Azamtv #Dudysports #Millardayo #Globaltv #Mbiusautitv #Wasafitv #Sportsarena #fifa #Hajimanara #Cas #Modewji #Yusuphmanji #Usajili #Kikosichasimbaleo #Simbaleo #Ligikuutanzania #Simba #Usajiliyangasc #yanga #ligikuu #tanzania #Simba #Yangaleo #Usajilisimbaleo #Ligikuu#tetesizausajilileo#simba #simbasctanzania#hajimanara#usajili #ireneuwoya#mayele #simba #yanga #kariakooderby #Uchambuziwaazamtv #cafclcc #Mashabikiwaalhilal #Hajimanara #Winnermedia #Kochanabi #Golilamayele #Klabuboraafrika #Top5media #klabubingwaafrika #Hajimanara #Enghersi #Yanga #Alhilal #mayele #Azamatv #Ibenge #Caf #cafconfiderationcup #Tff #Kikosichayanga #morrison #Yangatv #Yanga #Caf #Mayele #Tff #Hajimanara #Klabubingwaafrika #Yangasc #Kisinda #Enghersi #Yanga #Tff #Caf #Hajimanara #caf #Tff #enghersi #Yanga #Simba #Hajimanara #Josephatgwajimarudishatv #Simba #Yanga #Hajimanara #Wakristo #Simba #Yanga #Tundaman #Ahmedally #Yanga #Simbasc #Hajimanara #Jezimpyazasimba #Simba #Yanga #Tff #enghersi #Yangasc #Hajimanara #Enghersi #Yanga #Tff #Breakingnews #Diamondplatnumz #Harmonize #Msamaha #Azizki #Yanga #Richsports #Simbasc #Kagele #Mayele #Simba #Yanga #morrison #Mayele #Simbasc #yanga #Simbaleo #Yangaleo #Kikosichayanga #tetesizausajilileo #Azizik #Stephenazizk #Azizkikusajiliwasimba #Usajilisimbaleo #Usajiliyangasc #Dirishakubwalausajili #Kochampyawasimba #Tetesizausajilileo #YangaSc #mechiyasimbalive #mechiyayangalive #ccmkirumba #Mwanza #Yangaleo #Geitagoldleo #Wasafitv #Msimamowaligikuunbc #gsm #caf #wasafifm #wasafimedia #Cafconfiderationcup #Usajilisimbasc #Usajiliyangasc #Usajili #Dirishakubwalausajili #Azamtv #Dudysports #Millardayo #Globaltv #Mbiusautitv #Wasafitv #Sportsarena #fifa #Hajimanara #Cas #Modewji #Yusuphmanji #Usajili #Kikosichasimbaleo #Simbaleo #Ligikuutanzania #Simba #Usajiliyangasc #yanga #ligikuu #tanzania #Simba #Yangaleo #Usajilisimbaleo #Ligikuu #Chama #Caf #SIMBASC #YANGASC #SIMBA #LIGIKUUTANZANIA #Ligiyamabingwaafrica #Africa #Tanzania #Rockmedia #Sokatv #Mavalatv #Wizarayamichezo #Kochapitso #Yanga #Yangaday #yangasc #Plantamedia #Azammedia #Fifa #Kambole #Zalanfc #uwamjawaalhilal #Chama #Caf #SIMBASC #YANGASC #SIMBA # #Ligiyamabingwaafrica #Africa #Tanzania #Rockmedia #Sokatv #Mavalatv3 #Wizarayamichezo #Kochapitso #Yanga #Yangaday #yangasc #Plantamedia #Azammedia #Fifa #Kambole #Zalanfc #uwamjawaalhif



MAGOLI: Yanga yaipiga Dodoma Jiji 4-0; Aziz Ki afikisha 17; NBC PL 22/05/2024
MAGOLI: Yanga yaipiga Dodoma Jiji 4-0; Aziz Ki afikisha 17; NBC PL 22/05/2024

Stephane Aziz Ki amefunga magoli mawili na kufikisha magoli 17 katika mbio za ufungaji bora, Yanga ikiibugiza Dodoma Jiji mabao 4-0 kwenye Dimba la Jamhuri, Dodoma. Ni mchezo wa #NBCPremierLeague uliofunguliwa na goli la Clement Mzize dakika ya 10 kabla ya Aziz kufunga mawili dakika ya 45+3 kwa penati na dakika ya 51, na kisha Maxi Nzengeli akafunga kazi kwa goli la nne dakika ya 78. Magoli yote manne haya hapa....



🔴#LIVE:  DODOMA JIJI FC 0 Vs YANGA SC 04 || NBC premier league
🔴#LIVE: DODOMA JIJI FC 0 Vs YANGA SC 04 || NBC premier league

DODOMA JIJI FC Vs YANGA SC || NBC premier league #nbc #azamfc #ligikuu #tanzania #yanga #azamtv #trending #youtube #usajilisimba #usajiliyanga #tetesizausajili #dirishadogolausajili #dirishakubwalausajili #2023 #wachezajiwanaotemwasimba #wachezajiwanaotemwayanga #usajili #simba #magoli #chama #maxinzengeli #manara #alikamwe #ahmedally #gsm #moodewji #raissamia #samiasuluhu #caf



Magoli | Simba SC 4-1 Geita Gold | NBC Premier League 21/05/2024
Magoli | Simba SC 4-1 Geita Gold | NBC Premier League 21/05/2024

Simba SC imepata ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Geita Gold FC, mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliopigwa leo Azam Complex, Chamazi. Geita walitangulia kwa goli la Geofrey Julius dakika ya 11, kabla ya Simba kusawazisha dakika ya 45 kwa penati ya Saidi Ntibazonkiza ambaye pia alifunga la pili dakika ya 72 kwa free-kick. Aliyekamilisha mabao mawili ya mwisho ni Ladaki Chasambi dakika ya 86 na 90..... Haya hapa magoli...




« Previous Next »


Popular Tags

#LeBron James  #Kobe Bryant  #Michael Jordan  #Chris Paul  #Amazing Solo Goals  #Luis Suarez  #Counter Attack Goals Football  #Kevin Durant  #Russell Westbrook  #Tristan Thompson  

Popular Users

#ATLHawks  #twitter  #RSherman_25  #tigerwoods  #UKCoachCalipari  #Buster_ESPN  #DeionSanders  #StephenCurry30  #jadande  #mcuban  #ochocinco  #JayBilas  #PMOIndia  #Buccigross  #BellaTwins