Mchao TV's user profile page. Match highlights, posts and more on site!“” Report User |
Leo nyota wa kimataifa ya Congo @maxinzengeli amevaa medali ya kwanza ya Ubingwa baada ya kujiunga Yanga SC Msimu huu. Katika Mchezo wa kukabidhiwa Kombe leo pia kafanikiwa kutupia kambani na kuweka rekodi kila siku. Hii ni matunda ya juhudi na kipaji chake kikubwa nje ya Soka amekua hana mambo mengi. Takwimu zake kwa sasa zinasoma namna hii. Magoli 11. Pasi za magoli 2. Uwezo kwenye kutengeneza nafasi 🤩. Kuchezesha Timu 🤩. Kukaba kwa usahihi 🤩. Umakini na nidhamu 🤩. mchezo umeweza kumalizika kwa ushindi kwa Yanga sc mabao 3 kwa bila dhidi ya Tabora United ...
#Yangasc #SimbascApplication #Wonlocoulibaly #Usajiliwasimbasc #TetesizaUsajili #HabarizamichezoTanzania #Habarileo #Mwanaspot #Simbasc #MSIMBAZI #Live #Nguvumoja #SimbascApplication #Wonlocoulibaly #Usajiliwasimbasc #Algeria #alahlysc and #Usajiliwayangasc #Shaffhidaudatv #Kaizachief #YangascVsKaizerchiefs #Ufmlive #Daudatv and #Usajiliwayangasc #Shaffhidaudatv #Kaizachief #YangascVsKaizerchiefs #Ufmlive #Daudatv and #Usajiliwayangasc #Shaffhidaudatv #Kaizachief #YangascVsKaizerchiefs #Ufmlive #Daudatv #On-trending