Tazama magoli ya Yanga ikiitandika Azam FC 2-0 NBC Premier League 30/10/2021.. for Young Africans - Azam game - Post Details

Tazama magoli ya Yanga ikiitandika Azam FC 2-0 NBC Premier League 30/10/2021

Yanga SC imeichapa Azam FC mabao 2-0 katika mchezo wa ligi kuu ya NBC Tanzania Bara uliopigwa kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.

Similar Posts!