Content removal request!


Magoli | Dodoma Jiji 2-1 Tanzania Prisons | NBCPL 24/10/2021

Tazama magoli yote matatu, Dodoma Jiji wakipata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Wajelajela Tanzania Prisons katika mchezo wa kihistoria uliochezwa usiku wa Oktoba 24, 2021. Ilikuwa ni kwa mara ya kwanza mechi ya ligi kuu kurushwa LIVE usiku kutoka katika viwanja vilivyo nje ya Dar es Salaam na Zanzibar. Magoli ya Dodoma yalifungwa na Khamis Mcha na Emmanuel Martin wakati goli la Prisons likifungwa na Jeremiah Juma. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz