Ni katika mchezo wa mwisho wa kufungia hatua ya makundi #CecafaKagameCup , Nyasa Big Bullets ikaicharaza Atlabara ya Sudan Kusini mabao 2-0, mchezo ukipigwa kwenye Dimba la Azam Complex, Chamazi. Wafungaji ni Kayira na Hassan. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
YANGA VS EXPRESS: Yanga SC wametupwa nje ya mashindano ya Kombe la Kagame #CecafaKagameCup2021 baada ya kupokea kichapo cha mabao 3-1 kutoka kwa Express ya Uganda katika mchezo wa mwisho wa Kundi A uliochezwa kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Magoli ya Express yamefungwa na Godfrey Lwesibawa, Muzamiru Mutyaba na Erick Kenzo Kambale huku goli la Yanga likifungwa na Paul Godfrey. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
Tazama jinsi Yanga walivyokomaliwa na Atlabara ya Sudan Kusini na kulazimishwa suluhu katika mchezo wa #CecafaKagameCup2021 uliochezwa leo Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
Aliyekuwa Afisa Habari na Msemaji wa klabu ya Simba SC, Haji Manara anazungumza na waandishi wa habari. Mkutano uko LIVE katika chaneli ya #AzamSports1HD #AzamTvUpdates, #Simba #HajiManara #TFF #Soka #AzamTV Usikose kuangalia Taarifa ya Habari ya #AzamUTV ifikapo saa 2: 00 usiku huu, leo Alhamisi, Julai 29 kupitia kisimbuzi cha #AzamTV au AzamTV Max App. Miongoni mwa habari tulizo nazo ni pamoja na waganga wakuu waambiwa wachangamkie chanjo za corona ili kuzifikisha kwa wananchi. Unaweza kuipakua AzamTV Max App kupitia simu yako ya Android. ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
Goli la mkwaju wa penati kutoka kwa Erick Kenzo Kambale limeipa Express ya Uganda ushindi wa 1-0 dhidi Atlabara ya Sudan Kusini katika mchezo wa kundi A kwenye michuano ya Kombe la Kagame #KagameCup2021 , mechi ikipigwa Azam Complex, Chamazi. Katika mchezo huu pia Express walimaliza wakiwa pungufu baada ya mchezaji wao mmoja kutolewa kwa kadi nyekundu. red card Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
Goli la mkwaju wa penati kutoka kwa Erick Kenzo Kambale limeipa Express ya Uganda ushindi wa 1-0 dhidi Atlabara ya Sudan Kusini katika mchezo wa kundi A kwenye michuano ya Kombe la Kagame #KagameCup2021 , mechi ikipigwa Azam Complex, Chamazi. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
Yanga na Nyasa Big Bullets ya Malawi zimetoka sare ya bao 1-1 katika mchezo wa ufunguzi wa michuano ya Kombe la Kagame #KagameCup2021 inayofanyika jijini Dar es Salaam. Goli la Yanga limefungwa na Wazir Junior dakika ya 7 wakati Nysa wakisawazisha kwa penati kupitia kwa Chiukepo Msowoya baada ya Abdallah Shaibu 'Ninja' kufanya madhambi. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
Tanzania imetwaa ubingwa wa michuano ya vijana wenye umri chini ya miaka 23 #CecafaU23ChallengeCup kwa kuichapa Burundi penati 6-5 katika mchezo wa fainali uliochezwa leo bahir Dar nchini Ethiopia. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz