Tazama magoli ya Coastal Union ilipoibutua Mwadui FC 5-0 Mkwakwani - VPL 15/07/2021
Tazama magoli ya Coastal Union ilipoibutua Mwadui FC 5-0 Mkwakwani - VPL 15/07/2021

Magoli ya Abdul Suleiman Sopu, Issa Abushehe, Raizin Hafidh na Mudathir Said yameipa Coastal Union ushindi wa mabao 5-0 dhidi ya Mwadui FC , katika mchezo wa ligi kuu uliopigwa kwenye Uwanja wa Mkwakwani, Tanga. Matokeo haya yamefufua matumaini kwa Coastal Union kusalia ligi kuu baada ya kufikisha pointi 37 katika nafasi ya 14. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



Magoli ya Feitoto | Yanga vs Ihefu (2-0) | VPL 15/07/2021
Magoli ya Feitoto | Yanga vs Ihefu (2-0) | VPL 15/07/2021

Feisal Salum ameifungia Yanga magoli mawili muhimu na kuipa ushindi wa 2-0 dhidi ya Ihefu SC katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara iliyopigwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Ushindi huo umeifanya Yanga kuikamata rasmi nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi kwa kufikisha pointi 73 ambazo haziwezi kufikiwa na timu nyingine. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



Magoli | Ruvu Shooting v Namungo (2-1) |  VPL 15/07/2021
Magoli | Ruvu Shooting v Namungo (2-1) | VPL 15/07/2021

Ruvu Shooting imepata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Namungo FC na kufufua matumaini ya kusalia ligi kuu msimu ujao, mchezo ukipigwa kwenye Dimba la Mabatini, mkoani Pwani. Magoli ya Ruvu yamefungwa na David Richard Uromi na Fully Maganga huku goli pekee la Namungo likifungwa na Reliants Lusajo. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



COASTAL VS MWADUI : Kocha wa Coastal afunguka yanayowasibu
COASTAL VS MWADUI : Kocha wa Coastal afunguka yanayowasibu

“Ari nayo ndugu zangu waandishi inatengenezwa” majibu ya kocha msaidizi wa Coastal Union, Joseph Lazaro alipoulizwa kuhusu kushuka kwa ari ya wachezaji wa timu yake Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



LIVE :  SIMBA v COASTAL UNION; UCHAMBUZI KABLA YA MECHI - VPL 11/07/2021
LIVE : SIMBA v COASTAL UNION; UCHAMBUZI KABLA YA MECHI - VPL 11/07/2021

Simba SC huenda wakatangaza ubingwa wao wa nne mfululizo kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara endapo watapata sare au ushindi katika mchezo wao wa leo dhidi ya Coastal Union. Mechi inapigwa saa 1:00 usiku kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam na kukufikia LIVE #AzamSports1HD. Muda huu ni uchambuzi kuelekea mchezo huo, studio ukiwa na Endelea kufuatilia Taarifa ya Habari Wikiendi kutoka #Azam UTV kupitia kisimbuzi cha #aAzamTV Tufuatilie pia kwenye mitandao ya kijamii; ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



SIMBA 0-1 YANGA: Alichokisema Zawadi Mauya baada ya kuichapa Simba 1-0 VPL 03/07/2021
SIMBA 0-1 YANGA: Alichokisema Zawadi Mauya baada ya kuichapa Simba 1-0 VPL 03/07/2021

#KariakooDerby. Mfungaji wa bao pekee la Yanga, Zawadi Mauya amefunguka kuhusu goli alilowafunga Simba kwenye mechi ya leo. Sikia walichokisema wachezaji wa Yanga baada ya mechi, mmoja akisema “Akija Rais tu, inakuwa ni nafasi ya Yanga kushinda” FT’: Simba 0-1 Yanga. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



Simba 0-1 Yanga | Goli la Zawadi Mauya | VPL 03/07/2021
Simba 0-1 Yanga | Goli la Zawadi Mauya | VPL 03/07/2021

Mabingwa wa Kihistoria wa ligi kuu Tanzania Bara, Yanga SC wamewatandika watani wao wa jadi Simba bao 1-0 katika #KariakooDerby iliyopigwa leo kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Goli pekee la mchezo huo limefungwa na kiungo Zawadi Mauya, dakika ya 12. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



Ruvu Shooting 1-1 Polisi Tanzania | Highlights | VPL 24/06/2021
Ruvu Shooting 1-1 Polisi Tanzania | Highlights | VPL 24/06/2021

Tazama maafande wa Ruvu Shooting walivyokabana koo na maafande wa Polisi Tanzania katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliochezwa kwenye Uwanja wa Mabatini, mkoani Pwani. Magoli ya mchezo huyo uliomalizika kwa sare ya bao 1-1 yalifungwa na David Richard Ollomi na Tariq Seif. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz




« Previous Next »


Popular Tags

#Cristiano Ronaldo  #Russell Westbrook  #LeBron James  #Ronaldinho  #Allen Iverson  #Boston Celtics  #Franck Ribery  #Anthony Davis  #David Silva  #Kobe Bryant  

Popular Users

#espn  #BeingSalmanKhan  #instagram  #BillGates  #TheRealJRSmith  #MariaSharapova  #NiallOfficial  #LAKings  #billbarnwell  #rogerfederer  #BrunoMars  #JJWatt  #JohnCena  #lindseyvonn  #ddlovato