Content removal request!


Magoli ya Feitoto | Yanga vs Ihefu (2-0) | VPL 15/07/2021

Feisal Salum ameifungia Yanga magoli mawili muhimu na kuipa ushindi wa 2-0 dhidi ya Ihefu SC katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara iliyopigwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Ushindi huo umeifanya Yanga kuikamata rasmi nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi kwa kufikisha pointi 73 ambazo haziwezi kufikiwa na timu nyingine. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz