KMC FC 1-0 Ihefu SC | Goli la Charles Ilanfya | VPL 18/07/2021
KMC FC 1-0 Ihefu SC | Goli la Charles Ilanfya | VPL 18/07/2021

Ihefu SC ya mkoani Mbeya imechezea kichapo cha bao 1-0 kutoka kwa KMC, matokeo yaliyoishusha rasmi daraja Ihefu. Mchezo huu wa kufungia msimu umepigwa kwenye dimba la Uhuru Dar es Salaam na goli limefungwa na Charles Ilanfya. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



Goli la Mudathir Yahya | Ruvu Shooting 0-1 Azam FC | VPL 18/07/2021
Goli la Mudathir Yahya | Ruvu Shooting 0-1 Azam FC | VPL 18/07/2021

Azam FC imehitimisha msimu wa ligi kwa ushindi ikipata pointi tatu kwenye uwanja mgumu wa mabatinj, Pwani dhidi ya wenyeji wao Ruvu Shooting.Goli pekee la Azam limefungwa na Mudathir Yahya. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



Magoli: Mbeya City walivyoitandika Biashara United 4-0; Luizio apiga hat-trick - VPL 18/07/2021
Magoli: Mbeya City walivyoitandika Biashara United 4-0; Luizio apiga hat-trick - VPL 18/07/2021

MBEYA CITY 4-0 BIASHARA: Juma Luizio amefunga magoli matatu katika ushindi wa 4-0 ilioupata Mbeya City dhidi ya Biashara United katika mchezo wa mwisho wa ligi kuu Tanzania bara kwenye Uwanja wa Sokoine Mbeya. Goli lingine limefungwa na Siraji Juma na kuipa matokea yanayoifanya Mbeya City kusalia ligi kuu. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



Magoli | JKT Tanzania v Mtibwa Sugar (2-1) | VPL 18/07/2021
Magoli | JKT Tanzania v Mtibwa Sugar (2-1) | VPL 18/07/2021

JKT Tanzania imepata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Mtibwa Sugar lakini wameshuka daraja baada ya kumaliza ligi wakiwa nafasi nne za chini wakifikisha alama 39 sawa na Mtibwa lakini wamezidiwa idadi ya magoli. Magoli ya leo yamefungwa na Nurdin Seleman kwa penati, Shaban Mgandila na upande wa Mtibwa goli limefungwa na George Makang'a Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



Highlights | Ruvu Shooting 2-1 Namungo FC |  VPL 15/07/2021
Highlights | Ruvu Shooting 2-1 Namungo FC | VPL 15/07/2021

Ruvu Shooting imepata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Namungo FC na kufufua matumaini ya kusalia ligi kuu msimu ujao, mchezo ukipigwa kwenye Dimba la Mabatini, mkoani Pwani. Magoli ya Ruvu yamefungwa na David Richard Uromi na Fully Maganga huku goli pekee la Namungo likifungwa na Reliants Lusajo. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



Highlights | Yanga SC 2-0 Ihefu SC | VPL 15/07/2021
Highlights | Yanga SC 2-0 Ihefu SC | VPL 15/07/2021

Feisal Salum ameifungia Yanga magoli mawili muhimu na kuipa ushindi wa 2-0 dhidi ya Ihefu SC katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara iliyopigwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Ushindi huo umeifanya Yanga kuikamata rasmi nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi kwa kufikisha pointi 73 ambazo haziwezi kufikiwa na timu nyingine. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



Highlights | Tanzania Prisons 1-1 Biashara United | VPL 15/07/2021
Highlights | Tanzania Prisons 1-1 Biashara United | VPL 15/07/2021

Timu ya Tanzania Prisons imetoka sare ya bao 1-1 na Biashara United, mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliopigwa kwenye Uwanja wa Nelson Mandela, Sumbawanga. Goli la Biashara United limefungwa na Christian Zigah wakati Prisons wakichomoa kupitia kwa Mohamed Mkopi . Matokeo haya yameifanya Biashara United kumaliza msimu ikiwa nafasi ya nne na hivyo kushiriki michuano ya CAF Confederation Cup. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



Mbeya City 1-0 Gwambina | Penati mbili, goli moja la Kibu Denis | VPL 15/07/2021
Mbeya City 1-0 Gwambina | Penati mbili, goli moja la Kibu Denis | VPL 15/07/2021

Kibu Denis ameifungia Mbeya City goli pekee la ushindi wa 1-0 dhidi ya Gwambina FC katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliopigwa kwenye Dimba la Sokoine, Mbeya. Kibu amefunga goli hilo kwa mkwaju wa penati huku Gwambina nao wakipoteza penati yao kupitia kwa Rajab Athuman. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz




« Previous Next »


Popular Tags

#Best Champions League  #Neymar  #Kobe Bryant  #Goalkeeper Saves  #Mesut Ozil  #Franck Ribery  #Stephen Curry  #Russell Westbrook  #Kevin Durant  #Derrick Rose  

Popular Users

#BellaTwins  #TheNotoriousMMA  #espn  #RobbieSavage8  #akshaykumar  #realmadrid  #Buster_ESPN  #strombone1  #hunterpence  #fauxpelini  #lindseyvonn  #TimTebow  #JLo  #josecanseco  #twitter