Content removal request!


BREAKING:SIMBA IMEAMUA KURUDI TENA KWENYE DILI LA MPANZU/KUTUA SIMBA DIRISHA DOGO

Simba Pro tumekita kambi mpaka Makao Makuu ya shirika la habari Tanzania TBC, na kufanya mahojiano na mchambuzi Emmanuel Mwayombo na kutupitisha katika ukweli juu ya dili la Elie Mpanzu kutua katika kikosi cha Simba SC Mwayombo ametueleza mambo mengi kuhusiana na dili hilo na jinsi ambavyo Simba wamekua wakipush juu ya kupata sign yake Kama unahitaji kuungwa kwenye group letu la SIMBA PRO tuma ujumbe kwa namba o626629644 tulipe utaratibu wa jinsi ya kuungwa