Content removal request!


JINSI ATEBA NA KOCHA FADLU WALIVOMSHANGAZA IBENGE/PASI NYINGI NA MPIRA MZURI WA SIMBA NDO CHANZO

Jana Simba SC ilifanikiwa kucheza mchezo wa kirafiki na Al-hilal ya Sudan na mchezo kumalizika kwa sare ya bao 1-1 katika dimba la KMC Complex Heavyweight Dullah anatupitisha katika mchezo huo na jinsi ambavyo kocha Fadlu alivoingia Kimbinu dhidi ya Al-hilal Inayonolewa na Kocha Florent Ibenge Kama unataka kuungwa kwenye Group letu la SIMBA PRO tuma ujumbe kwa namba 0626629644 ili uweze kuungwa kwenye group letu