Content removal request!


SIMBA WAONDOKA NA KIUNGO WA SFAXIEN/SABABU ZA FADLU DAVIDS KUMNG'OA KIUNGO HUYO FUNDI HIZI HAPA

Baada ya Simba SC Kucheza na Sfaxien Fadlu Davids ameonekana kuvutiwa na Kiungo fundi Balla Moussa Conte na uwezo wake umefanya Simba Kuanza kumnyatia nyota huyo kwaajili ya msimu ujao Emmanuel Mwayombo anatupitisha katika uchambuzi wa nyota huyo, Ubora wake na jinsi ambavyo atatumika akiwa Simba