Mwananchi Digital's user profile page. Match highlights, posts and more on site!

“”

 Report User

Highlights

Msikie 'Haji Manara' kuhusu 'Aishi Manula' | "Atasafiri kuelekea Sudan"
Msikie 'Haji Manara' kuhusu 'Aishi Manula' | "Atasafiri kuelekea Sudan"

Msemaji wa klabu ya Simba Haji Manara akizungumzia kuhusu hali ya golikipa namba moja wa klabu hiyo Aishi Manula, aliyeumia jana kwenye mchezo dhidi ya JKT Tanzania na kutolewa nje ya uwanja. "Baada ya mchezo kuisha daktari ameniambia kuwa kila kitu kipo sawa, amepelekwa hospitali kufanyiwa vipimo na tunasubiri majibu. Manula ni mchezaji muhimu sana na nina uhakika ataweza kucheza Sudan." Kocha mkuu wa klabu ya Simba Didier Gomes akizungumzia kuhusu golikipa Aishi Manula.

TAZAMA WALICHOKIFANYA 'Mashabiki wa Simba SC' MBELE YA GARI LA WACHEZAJI
TAZAMA WALICHOKIFANYA 'Mashabiki wa Simba SC' MBELE YA GARI LA WACHEZAJI

Tazama walichokifanya mashabiki wa klabu ya Simba baada ya mchezo wao dhidi ya Al Ahly kumalizika, walizonga gari lilobeba wachezaji wa klabu yao na kuimba huku wakicheza kwa furaha kusherekia ushindi wao waliopata leo dhidi ya klabu ya Misri Al Ahly.

UTACHEKA!!!..SHABIKI 'Simba Sc' AIOMBA SERIKALI ULINZI
UTACHEKA!!!..SHABIKI 'Simba Sc' AIOMBA SERIKALI ULINZI

Mchezo wa hatua ya makundi klabu Bingwa Afrika kati ya Simba Sc dhidi ya Al Ahly ya nchini Misri umemalizika kwa Simba kuibuka na ushindin wa bao moja katika uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam, hivyo kutokana na ushindi huo shabiki mmoja wa Simba alijitokeza nukuiambia Mwananchi Digital anaiomba Serikali kuwapa ulinzi wachezaji wa Simba.

#LIVE: KINACHOENDELEA NJE  YA UWANJA WA MKAPA | SIMBA VS AL AHLY
#LIVE: KINACHOENDELEA NJE YA UWANJA WA MKAPA | SIMBA VS AL AHLY

Ni Simba SC dhidi ya Al Ahly ya Misri na haya ni Matangazo ya moja kwa moja ya kinachoendelea nje ya uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es salaam.

TP MAZEMBE WAITABILIA MAKUBWA SIMBA SC KIMATAIFA
TP MAZEMBE WAITABILIA MAKUBWA SIMBA SC KIMATAIFA

Mashabiki wa TP Mazembe baada ya kufarahishwa na kiwango bora cha Simba wameibuka na kudai Simba wakiendelea hivi watakuwa hatari sana kimataifa siku za mbeleni.

SHANGWE LA WACHEZAJI WA SIMBA SC BAADA YA MCHEZO DHIDI YA FC PLATINUM
SHANGWE LA WACHEZAJI WA SIMBA SC BAADA YA MCHEZO DHIDI YA FC PLATINUM

Kampuni ya Mwananchi Communications LTD wasambazaji wa magazeti ya Mwananchi, Thecitizen na Mwanaspoti Tanzania.

TAZAMA!!..WACHEZAJI WA PLATINUM WALIVYOIZIRA PENATI YA SIMBA
TAZAMA!!..WACHEZAJI WA PLATINUM WALIVYOIZIRA PENATI YA SIMBA

Kampuni ya Mwananchi Communications LTD wasambazaji wa magazeti ya Mwananchi, Thecitizen na Mwanaspoti Tanzania.

BIG WA SIMBA: ''KIPIGO CHA IHEFU SALAMU KWA PLATNUM FC''
BIG WA SIMBA: ''KIPIGO CHA IHEFU SALAMU KWA PLATNUM FC''

Shabiki wa Simba SC maarufu kama 'BIG' akiuzungumzia mchezo wao dhidi ya Ihefu FC, ulio malizika kwa Simba kumfunga Ihefu mabao 4-0 kwenye dimba la Benjamin mkapa.

« Previous Next »

User Detail Page

You can find user latest posts and related content on the page. Friends, comments for events / matches are also available on the page. Even you can find users who are same pleasure with current user.

#Travel, #SupportYourTeam, #AllAboutSports