Mwananchi Digital's user profile page. Match highlights, posts and more on site!

“”

 Report User

Highlights

TAZAMA MASHABIKI AZAM WALIVYOMJIA JUU MWENYEKITI WA KLABU
TAZAMA MASHABIKI AZAM WALIVYOMJIA JUU MWENYEKITI WA KLABU

Mashabiki wa Azam FC wameutaka uongozi wa timu hiyo kutafuta suluhisho la timu hiyo kufanya vibaya katika siku za hivi karibuni. Mashabiki hao wameyasema hayo mara baada ya kutoka sare ya mabao 2-2 nyumbani dhidi ya Ruvu Shooting.

UTACHEKA...! MSIKIE MZEE WA UTOPOLO ||"REST IN PEACE MASAU BWIRE"
UTACHEKA...! MSIKIE MZEE WA UTOPOLO ||"REST IN PEACE MASAU BWIRE"

Tazama shabiki huyu wa Yanga maarufu kama mzee wa utupolo, akishusha vijembe kwa msemaji mkuu wa klabu ya Ruvu Shooting Masau Bwire na Watani wao wa Jadi Simba SC.

UTACHEKA..!! SIKIA MANENO YA SHABIKI HUYU WA SIMBA || "KANYWA GUNDI"
UTACHEKA..!! SIKIA MANENO YA SHABIKI HUYU WA SIMBA || "KANYWA GUNDI"

Yasikilize maneNo yaliyojawa vituko ya shabiki huyu kindakindaki wa Simba SC baada ya mchezo wao dhidi ya Wanaigeria klabu ya Plataue anadai kocha wao "kanywa Gundi"

SIKIA MANENO YA MANARA "Tiki Taka kwa Mkapa" || AWAZUIA MASHABIKI WA YANGA
SIKIA MANENO YA MANARA "Tiki Taka kwa Mkapa" || AWAZUIA MASHABIKI WA YANGA

Msemaji wa klabu ya Simba Haji Manara akizungumzia maandalizi na mchakato mzima wa mchezo wa marudiano wa michuano ya klabu bingwa Afrika kati yao dhidi ya Plateau United ya nchini Nigeria.

YANGA 1 VS 1 NAMUNGO || REFA ASHIKA KICHWA BAADA YA NAMUNGO KUKOSA PENATI
YANGA 1 VS 1 NAMUNGO || REFA ASHIKA KICHWA BAADA YA NAMUNGO KUKOSA PENATI

Katika tukio ambalo lilionekana kuwakera mashabiki wa Yanga basi ni Namungo kupata mkwaju wa Penati dakika za majeruhi, na kuwatupia lawama zote marefa wa mchezo huo.

BALAA ZITO...CHEKI HARMONIZE ALIVYOTUA KIJESHI TAIFA
BALAA ZITO...CHEKI HARMONIZE ALIVYOTUA KIJESHI TAIFA

MSANII wa Bongo fleva, Harmonize ( Konde Boy Jeshi), ameibua shangwe kwenye Uwanja wa Mkapa baada ya kushuka uwanjani na kamba .

#LIVE: DIAMOND AKIKINUKISHA SIMBA DAY, MASHABIKI WASHINDWA KUJIZUIA
#LIVE: DIAMOND AKIKINUKISHA SIMBA DAY, MASHABIKI WASHINDWA KUJIZUIA

Hivi ndivyo msanii maarufu wa muziki wa kizazi kipya Diamond Platnumz alivyopagawisha katika uwanja wa Mkapa jijini Dar es Salaam, ikumbukwe kuwa leo ni siku maalamu ya wanasimba ambapo wanatarajia kutambulisha wachezaji wao mbalimbali waliowasajili kwa ajili ya msimu mwaka 2020/2021 wa ligi kuu ya Vodacom.

« Previous Next »

User Detail Page

You can find user latest posts and related content on the page. Friends, comments for events / matches are also available on the page. Even you can find users who are same pleasure with current user.

#Travel, #SupportYourTeam, #AllAboutSports