Content removal request!


TAZAMA WALICHOKIFANYA 'Mashabiki wa Simba SC' MBELE YA GARI LA WACHEZAJI

Tazama walichokifanya mashabiki wa klabu ya Simba baada ya mchezo wao dhidi ya Al Ahly kumalizika, walizonga gari lilobeba wachezaji wa klabu yao na kuimba huku wakicheza kwa furaha kusherekia ushindi wao waliopata leo dhidi ya klabu ya Misri Al Ahly.