Mashabiki wa TP Mazembe baada ya kufarahishwa na kiwango bora cha Simba wameibuka na kudai Simba wakiendelea hivi watakuwa hatari sana kimataifa siku za mbeleni.