Simba SC Fans Tv's user profile page. Match highlights, posts and more on site!

“”

 Report User

Latest Posts

HASSAN AHMED: GEITA GOLD WAMETESEKA SANAAA, CHAMA ANABALAA
HASSAN AHMED: GEITA GOLD WAMETESEKA SANAAA, CHAMA ANABALAA

Mchambuzi na mtangazaji wa habari za michezo wa @azamtvtz Hassan Ahmed alie kua akitangaza mchezo wa leo wa Geita Gold dhidi ya Simba Sc uliochezwa jijini Mwanza katika uwanja wa CCM Kirumba, akielezea hali yake ilivyokua pindi akitangaza mchezo huo.

RAMADHAN NGODA: NILI ENJOY SANA KUTANGAZA MECHI YA COASTAL NA SIMBA.
RAMADHAN NGODA: NILI ENJOY SANA KUTANGAZA MECHI YA COASTAL NA SIMBA.

Mtamgazaji namba moja katika mchezo wa Coastal Union na Simba Sc akielezea jinsi alivyouona mchezo huo nakutoa tahimini ya kikosi cha Simba na mchezo kwa ujumla. Pia ametanabaisha kwamba anafurahi sana kutangaza mechi zinazo chezwan katika uwanja wa Mkwakwani kwakua ni wa nyumbani kwao na ndipo alipoanzia kutangaza mpira kwa mara yake ya kwanza.

SIKIA TAMBO ZA AHMED ALLY BAADA YA KUWAADHIBU COASTAL UNION KWA GOLI 3 - 0
SIKIA TAMBO ZA AHMED ALLY BAADA YA KUWAADHIBU COASTAL UNION KWA GOLI 3 - 0

SIKIA TAMBO ZA AHMED ALLY BAADA YA KUWAADHIBU COASTAL UNION KWA GOLI 3 - 0

MGUNDA: NDO MAANA SIJASHANGILIA/ HUWEZI KUNITENGANISHA NA COASTAL UNION
MGUNDA: NDO MAANA SIJASHANGILIA/ HUWEZI KUNITENGANISHA NA COASTAL UNION

Kocha mkuu wa Simba ameelezea ugumu alioupata kuikabili Coastal Union nakuelezea kwamba hakua na namna yoyote ilibidi iwe hivyo

AHMED ALLY: UMEKUA NI USHINDI MZURI KWETU/TUNA TIMU YENYE UWEZO WAKUSHINDA/MATOLA AKASOME
AHMED ALLY: UMEKUA NI USHINDI MZURI KWETU/TUNA TIMU YENYE UWEZO WAKUSHINDA/MATOLA AKASOME

Msemaji wa Simba Sc akiongea na waandishi wa habari baada ya mchezo wa leo dhidi ya Ruvu Shooting.

TIGANA LUKINJA: UBORA WA SIMBA UPO KATIKA KIUNGO/MPIRA UNAPOISHA MCHEZAJI ANAJITATHIMINI
TIGANA LUKINJA: UBORA WA SIMBA UPO KATIKA KIUNGO/MPIRA UNAPOISHA MCHEZAJI ANAJITATHIMINI

Mchambuzi wa habari za michezo na kocha wa mpira wa miguu Tigana Lukinja akitoa maoni yakiufundi ameleza kwamba ubora wa Simba Sc upo katika eneo la kiungo jambo ambalo limeifanya Simba Sc kupata matokeo kwaurahisi na ufanisi mbele ya Mtibwa Sugar na timu zingize ambazo Simba imeshinda. Pia ameeleza kwamba kurejea kwa viwango vya wachezaji waliozoeleka kufunga mara kwa mara lakini kwa siku za hivi karibuni makali yao hayakuonekana lakini katika mechi dhidi ya Mtibwa Sugar yameonekana, ameeleza sababu kubwa yakurejea kwao ni utashi wa waalimu wa Simba Sc Selemani Matola na Juma Mgunda kuweza kuwa karibu sana na wachezaji kwakuondoa mipaka ambayo inasababisha ufanisi wa wachezaji katika uwanja wa mazoezi na mafunzo.

Highlights

TAMBO ZA MASHABIKI WA SIMBA SC KABLA YA MECHI DHIDI YA AZAM
TAMBO ZA MASHABIKI WA SIMBA SC KABLA YA MECHI DHIDI YA AZAM

Mashabiki wa Simba Sc wakiongea kwakujiamini kushinda dhidi ya Azam katika viunga vya uwanja wa Benjamin Mkapa kabla ya ...

« Previous

User Detail Page

You can find user latest posts and related content on the page. Friends, comments for events / matches are also available on the page. Even you can find users who are same pleasure with current user.

#Travel, #SupportYourTeam, #AllAboutSports