Content removal request!


RAMADHAN NGODA: NILI ENJOY SANA KUTANGAZA MECHI YA COASTAL NA SIMBA.

Mtamgazaji namba moja katika mchezo wa Coastal Union na Simba Sc akielezea jinsi alivyouona mchezo huo nakutoa tahimini ya kikosi cha Simba na mchezo kwa ujumla. Pia ametanabaisha kwamba anafurahi sana kutangaza mechi zinazo chezwan katika uwanja wa Mkwakwani kwakua ni wa nyumbani kwao na ndipo alipoanzia kutangaza mpira kwa mara yake ya kwanza.