Content removal request!


AMBANGILE: JEZI ZIMEHESHIMISHWA, NI TUKIO LA KIHISTORIA ULIMWENGUNI

Tumefanikiwa kufanya mahojiano na mchambuzi bora kutoka Wasafi fm & tv na kuzungumzia namna tukio la uzinduzi wa jezi litakavyo andika rekodi mpya katika sektaya michezo na utalii.