Karibu Simba SC Fans Tv, Simba ni klabu iliyofanikiwa zaidi katika nchi za Afrika Mashariki,Hapa utapata wasaa wa kutazama Marudio ya mechi, na mahojiano. Usisahau kujiunga nasi . Karibuni sana.

KWA HALI HII, KUANZISHWE KOMBE LA PENALTY TU / SHUGHULI ILIKUA PEVU ALIVUA VUATU AKIMBIE
Tumefanikiwa kufanya mahojiano na mchambuzi bora kutoka Wasafi fm & tv na kuzungumzia namna tukio la uzinduzi wa jezi litakavyo andika rekodi mpya katika sektaya michezo na utalii.
Wafanya biashara ndogo ndogo pembezoni mwa uwanja wa Manungu wametanabaishwa kwamba ujio wa Simba Sc kucheza katika uwanja huo nifulsa kwao kwasababu mauzo ya biashara zao nimakubwa tofautina ujio wa timu zingine
Hayo ndiyo maoni yake alie kua mtangazaji Azam Tv wa mchezo wa AFC uliochezwa katika uwanja wa Shamba la bibi jijini Dar Es Salaam. Kabombe amesema haoni sababu ya Simba kupoteza mchezo wa kimataifa dhidi ya Vipers SC kwasababu kama Simba Ilishinda ugenini kwanini ishindwe kwa Mkapa ?