MANUNGU HAPATOSHII: SIMBA INATULETEA NEEMA, SIMBA INAPENDWA KULIKO MTIBWA SUGAR
Wafanya biashara ndogo ndogo pembezoni mwa uwanja wa Manungu wametanabaishwa kwamba ujio wa Simba Sc kucheza katika uwanja huo nifulsa kwao kwasababu mauzo ya biashara zao nimakubwa tofautina ujio wa timu zingine